Marejesho roho inaniuma ila sina jinsi

I didn't lose a friends ndo nini?
 
Bora utumie kiswahili tu kiingereza kinakushinda
Kabisa...et we so happy, atumie kiswahili tu kwa kweli au kama vipi apige ung'eng'e nwanzo mwenga anatuchanganyia madawa
 
Hata kiswahili chako ni tia maji tia maji. Komaa na shule kwanza!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Naona hapewi nafasi kila anapo geukia anakutana na ngumi kali
 
Mada imekuwa LUGHA sasa....kwa mtaji huu tusiojua Kiingereza sijui tutafanyia wapi mazoezi? Wenye lugha yao wanasema PRACTICE MAKES PERFECT sijui nimepatia?
 
Kuwa mwanafunzi si lazima uwe unasoma fikra za mawazo yako na huo umri wa 15 vinatosha kukutunuku hiyo sifa.
 
Nadhani sasa ni wakati sahihi kabisa kuhimiza watu kutumia kiswahili maana unaona mtu anajaribu kutumia cha malkia chali......

Akija tena kwa hiki alichotupa nyerere nacho chali.....

Bora tukakomaa na hiki cha nyerere kidogo kuna mwelekeo lkn sio hicho cha malkia
 
Ule uzi wa mwanzo unasemaje wengine hatukuusoma
 
Usisahau kutupia kapicha kule grupu pendwa la wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…