Watu wa R Chuga mtanunaje....
Hapa tuko mimi, marejesho, Paloma, Lusile, Vivianna, cacico, Na Mzee wa Ku-Party Mtambuzi, warembo tuna glass za Champagne na maua mekundu, Kwa raha zetu....
Mzee Mtambuzi anamwaga stori zake za kufumaniwa na vituko vya uswahilini, yaani tunacheka hadi watu wanatushangaa.......
Wapi Madam B, gfsonwin, mwaJ, Swts, Nyamayao, Erickb52, Filipo, Mungi, Don Mangi, Arushaone, Asprin, Ruttashobolwa, Fidel80, amu, snowhite, kipaji halisi, watu8, Mamndenyi, MadameX, Lisa, nivea, King'asti... Hebu njooni pande hii tusongeshe......
pole sana amu. Ningekuwa najua hlo nisingekulaumu my dear. Pole kwa kuumwa. Get well soon.Hii ni zaidi ya wiki nipo kitandani naumwa leo ndo nimepata nafuu kuingia humu hali yangu si nzuri hata kidogo
Hii ni zaidi ya wiki nipo kitandani naumwa leo ndo nimepata nafuu kuingia humu hali yangu si nzuri hata kidogo
Hii ni zaidi ya wiki nipo kitandani naumwa leo ndo nimepata nafuu kuingia humu hali yangu si nzuri hata kidogo
Hatukuwa nae Mkuu! marejesho yupo Dar analijenga taifa na mimi nipo AR. Wewe vp, passion lady alikuja?
Ni poa sana. U hali gani wewe?
Ooooh tate nane.............
My valentine passion lady where are you?
Hatukuwa nae Mkuu! marejesho yupo Dar analijenga taifa na mimi nipo AR. Wewe vp, passion lady alikuja?
bado mpo hapo Jeska? Unanierewa? Ntakuja na suti yangu ya gucci kama ya Ruttashobolwa
my Ruttashobolwa mzima wewe,jana wakati naenda nyumbani niliibiwa simu kwenye daladala nikakosa mawasiliano,samahani sana swr!mic u!