Marejesho: Mwanaume wangu yupo busy nifanyeje?

Marejesho: Mwanaume wangu yupo busy nifanyeje?

usingeleta mrejesho kama bado hujaongea naye ya moyoni mwako, your feedback is useless for now

Ingekuwa useless nisingewaambia,alafu sio lazima kuchangia kila topic.Kwa ambao walitoa mawazo yao nifanye nini ndio inawahusu
 
mimi nilikucheka, je ilisaidia?

Sio kila ushauri ni wa kuufata,nilisoma mawazo yote then nkachambu yapi yatanifaa.W kama ulicheka usijali na me ntacheka nkikutana na mchuchu
 
Ingekuwa useless nisingewaambia,alafu sio lazima kuchangia kila topic.Kwa ambao walitoa mawazo yao nifanye nini ndio inawahusu

Ujue hapa kila mtu na mawazo yake, so usipanic bidada (hapo kwa red)

BTW are you sure I didn't give you my views? (hapo kwa red)
 
Ujue hapa kila mtu na mawazo yake, so usipanic bidada (hapo kwa red)

BTW are you sure I didn't give you my views? (hapo kwa red)

Wala sijapanic na me nimetoa ya kwango so wala usijali me nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom