elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
- Thread starter
- #41
Kumbe wengine siye wazee yani kipindi hicho nilikuwa nshakuwa travellerxanteee mkuu.....disco toto ngoma ilkuaga haikosi hii
Kumbe wengine siye wazee yani kipindi hicho nilikuwa nshakuwa travellerxanteee mkuu.....disco toto ngoma ilkuaga haikosi hii
hahaahaaa.....we cio mzee....ila kijana wa zamaniKumbe wengine siye wazee yani kipindi hicho nilikuwa nshakuwa traveller
Kijana mzee kama nani yule Saigonhahaahaaa.....we cio mzee....ila kijana wa zamani
Snoop Lee yuko UK bado?G - 2 ilikuwa ya kwake roy...mwanzo aliajiriwa G record ya G lover.. pale chang'ombe.. na hit song zote karibu na jina alilipatia G record.. enzi za mr blue anatoka, aby skills, alikiba, bjb, snoop lee, Enika.. wengi nilikuwa nawajua sababu nyumba yetu ilikuwa jirani na G record
Kwan alienda UK au alienda Germany?Snoop Lee yuko UK bado?
Uk nadhani maana alidai bro wake alikuwa uko na alimwita kuangalia mishe zingineKwan alienda UK au alienda Germany?
Nlikua sijui basi kama ni hivyo jamaa namnyanyuliaCinderela,Nakshi Mrembo,Siamini,Mapozi,Blu blu zilikuwa nyimbo za taifa kutoka kwenye mikono salama ya Roy.
Nlikua sijui basi kama ni hivyo jamaa namnyanyulia mikonoCinderela,Nakshi Mrembo,Siamini,Mapozi,Blu blu zilikuwa nyimbo za taifa kutoka kwenye mikono salama ya Roy.
Dah umenikumbusha mbali sana.Hivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi

Wapi mkuuDah umenikumbusha mbali sana.
Umesahau ya Jua kali... NiimbieHivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi
Jamaaa kipindi hicho nilikuwa namuona ye na blu bongo bahati mbaya.Uk nadhani maana alidai bro wake alikuwa uko na alimwita kuangalia mishe zingine
Kumbe mkono wa roy?Umesahau ya Jua kali... Niimbie
Hahaaaaaaaaa majamaa Mabitoz balaa zile Pamba zilikuwa za hatariJamaaa kipindi hicho nilikuwa namuona ye na blu bongo bahati mbaya.
Enzi za visual lab na ile video ya snalee ft blu- microphone nadaka
Unakumbuka ile ngoma ya snalee na mangwair- ratiba zetu produced by pfunkHahaaaaaaaaa majamaa Mabitoz balaa zile Pamba zilikuwa za hatari
Yes sema baadhi ya mashairi yamenitoka maana kipindi nadhani the late Ngwair alikuwa ametoa Eastzoo na ngoma lake Ghetto langu lilikuwa mwiba kisha hewani unaskiliza Ingekuwa vipi ya Mwanafalsafa na Mo mbakiajiUnakumbuka ile ngoma ya snalee na mangwair- ratiba zetu produced by pfunk
Hizi ndo ratiba zetu everydayYes sema baadhi ya mashairi yamenitoka maana kipindi nadhani the late Ngwair alikuwa ametoa Eastzoo na ngoma lake Ghetto langu lilikuwa mwiba kisha hewani unaskiliza Ingekuwa vipi ya Mwanafalsafa na Mo mbakiaji
Hapana mkuu ilikuwa kazi ya calif records... Niliilist kama ngoma kali aliwah shirikishwa enikaKumbe mkono wa roy?
Jamaa alikuwa NUC
Aaah hivi calif records bado ipo. Hivi wajua sappy wa ogopa ni kijana wa mwanzaHapana mkuu ilikuwa kazi ya calif records... Niliilist kama ngoma kali aliwah shirikishwa enika
Ni p funk majaniHivi wimbo wa Sina demu wa B Boy alitengeneza huyu Roy?