aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 190
Mwili wa marehemu dada yake freman mbowe unaagwa muda huu ndani ya kanisa la kkkt wazo hili ila mpaka sasa mbowe hayupo kanisani
R.i.p Gresi mwana ccm
R.i.p Gresi mwana ccm
Mwili wa marehemu dada yake freman mbowe unaagwa muda huu ndani ya kanisa la kkkt wazo hili ila mpaka sasa mbowe hayupo kanisani
R.i.p Gresi mwana ccm
aminangalo, wewe utakuwa ni mwanamke mbea sana. Do not capitalize on one's death! Ni upuuzi kuleta siasa kwenye kifo cha mtu. Na ulaaniwe kwa kutokuwa muungwana. Mtu katoka Denmark mpaka Tanzania then unaleta taarab zako? Mme wako kalamba garasa. Shame on you and your family that raised you!
Mwili wa marehemu dada yake freman mbowe unaagwa muda huu ndani ya kanisa la kkkt wazo hili ila mpaka sasa mbowe hayupo kanisani R.i.p Gresi mwana ccm
Ulijiandaa kumuona Mbowe?au kilichokupeleka huko ni msiba?.....
Landa hajui Mbowe kashaoa siku nyingi...hujui siku hizi watu wanaenda msibani kutafuta wanaume.
Mwili wa marehemu dada yake freman mbowe unaagwa muda huu ndani ya kanisa la kkkt wazo hili ila mpaka sasa mbowe hayupo kanisani
R.i.p Gresi mwana ccm
Amuache miaka mia......target yake leo imegonga mwamba!!!Sio kila kichaka ushushe mzigo wako,vingine vina miba.
Mnyika john anatoa salam kwa niaba ya slaa ktb mkuu
Mnyika slaa ameniachia mm ofisi yupo marekani
Nilimfahamu sana dada Gresi tangu zamani
Mnyika john anatoa salam kwa niaba ya slaa ktb mkuu
Mnyika slaa ameniachia mm ofisi yupo marekani
Nilimfahamu sana dada Gresi tangu zamani
Qui qui qui ..!hahahaaaaa...!
Akili za maiti izi kwa iyo umemuaga bwana ako unaenda msibani kutazama Mbowe