marashi na manukato | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

marashi na manukato

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by queenkami, Apr 7, 2012.

 1. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Happy easter wakuu wa jukwaa hili.

  Hivi wakuu neno marashi na neno manukato yana maana moja?
  Mim nimekua nadhani kuwa maneno hayo yanamaanisha perfume kwa kiingereza lakini sina uhakika kama niko sahihi.
  Ningependa kufahamu kama niko sahihi na kama siko sahihi jibu sahihi ni lipi.

  Pia neno roof kwa kiswahili ni paa.
  Je neno ceiling board kwa kiswahili ni nini?
  Neno ice kwa kiswahili ni barafu.
  Je ice cream kwa kiswahili ni nini?

  Lugha yetu ni tamu,najivunia kuongea kiswahili na kuitwa mswahili ndio maana napenda kujifunza kiswahili ili niwe mswahili anayekijua vizuri kiswahili.

  From Queen to you
  with lots of love.
  Mbarikiwe.
   
 2. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kwetu ice cream tunaita malai.. Kiswahili itakua lambalamba.. Mmh!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ice cream ni barafu ya sukari..
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  linaitwa silingi bodi..
   
 5. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #5
  Apr 7, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hivi sio "koni" kweli? Halafu hapo kwenye "silingi bodi" ndety umetudanganya!
   
 6. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #6
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hiki bado ni kiingereza kinacholazimishwa kuwa kiswahili.
   
 7. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  katudanganya live live
   
 8. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #8
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  yeep ni malai nilisikiaga siku moja ila sikuwa nimeelewa kama ndio ice cream.
  uwe na pasaka njema.
   
 9. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #9
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .

  Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI:


  1. Marashi* nm [ya-] 1 rose water. 2 perfume. (Kar)


  2. Manukato nm [ya-] perfume; anything with a sweet scent.


  Na ukilitafuta hilo neno kwa kiingereza ... yaani Perfume kwenda kiswahili


  3. Perfume:
  n manukato, marashi, uturi.

  - vt tia marashi/manukato. ~r n mtengeneza/mwuza marashi/uturi a ~r's shop duka la marashi. ~ry n kiwanda cha marashi.​


  Nafikiri utakuwa umeshapata jibu hapo

  .
   
 10. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #10
  Apr 7, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  asante kwa ufafanuzi.
   
 11. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Asante kwa kushukuru

  .
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nenda hardware kaulizie uone utaambiwaje ndo utajua nilichosema ni kweli..
   
 13. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI:


  1. Ice cream: n aiskrimu

  2. Malai nm [ya-] cream, milk cream.

  .
   
Loading...