Marangu: Mabweni ya Shule ya Sekondari wasichana Ashira yanayeketea kwa moto

Jamani nilishiriki jamani kwenye harambee ya kuiboresha pale jamani alafu ni karibia na nyumbani kwetu

Mimi nimesema hivyo kwa sababu ni jadi yetu kuchangia mbona tunachangia kwa wengine kama kwa Tundu lissu, yule mtoto kule kwa page ya Mange, tumechangia kwenye tetemeko, lucky vicent ile ajali etc

Mimi ni mdau wa elimu sipendi watoto wetu wapate shida. Kuna sehemu moja nilipita walikuwa wanachangishana ujenzi wa bweni kule Ngudu nikashangaa sana watu walikuwa wanalalamika eti wanabebeshwa matofali na shule mpaka leo haijakamilika

Anyway nimepakumbuka nyumbani
Hujazungumzia swala la kuwa ww ni mdau wa elimu rahasha, afadhari ungesema watz tuwe wazarendo kwa hili, tushikamane kwa kuwachanga wa tz wenzetu, lkn ww unetembelea kauli ya unyumbani.. basi subiri wachaga wenzio walio na roho za kihoro mje mfanye harambee yenu.
 
Ww ulichangia kwa interest zako. Unataka kuniambia hakuna shule za kata hapo kijijini kwako zinazohitaji kuchangiwa kuliko hiyo Ashira
Jamani nilishiriki jamani kwenye harambee ya kuiboresha pale jamani alafu ni karibia na nyumbani kwetu

Mimi nimesema hivyo kwa sababu ni jadi yetu kuchangia mbona tunachangia kwa wengine kama kwa Tundu lissu, yule mtoto kule kwa page ya Mange, tumechangia kwenye tetemeko, lucky vicent ile ajali etc

Mimi ni mdau wa elimu sipendi watoto wetu wapate shida. Kuna sehemu moja nilipita walikuwa wanachangishana ujenzi wa bweni kule Ngudu nikashangaa sana watu walikuwa wanalalamika eti wanabebeshwa matofali na shule mpaka leo haijakamilika

Anyway nimepakumbuka nyumbani
 
Hujazungumzia swala la kuwa ww ni mdau wa elimu rahasha, afadhari ungesema watz tuwe wazarendo kwa hili, tushikamane kwa kuwachanga wa tz wenzetu, lkn ww unetembelea kauli ya unyumbani.. basi subiri wachaga wenzio walio na roho za kihoro mje mfanye harambee yenu.
Wewe ulishachangia ata tofali au kurekebisha mtaro mtaani kwako. Ulishawahi kusikia moshi inakosa madawati na madarasa, vituo vya afya vikakosekana, ukishawahi kusikia mkoa huu ndo umekuwa wa mwisho.

Acha wivu ndugu sio ajabu uko kwenu watoto wanakaa chini na hakuna ata vyoo vya kujistiri, maji ya bomba hamna na bado unataka umaarufu hapa

Rudi kwenu anzisheni vikundi vya kujenga kwenu na misaragambo Kilimanjaro ilmeshawaacha zamani
 
Ww ulichangia kwa interest zako. Unataka kuniambia hakuna shule za kata hapo kijijini kwa zinazohitaji kuchangiwa kuliko hiyo Ashira
Wewe ni poyoyo kweli kweli

Kwa taarifa yako kata yangu ina shule tatu na kuna uwanja mmoja mtu alitoa ardhi yake na tushajenga shule ikifika siku ya graduation tunafanya harambee na kwa taarifa yako tuna shule ya kata ina mpaka maabara 2.

Karibu Moshi mjomba au mlete mwanao asome afaulu
 
Wewe ulishachangia ata tofali au kurekebisha mtaro mtaani kwako. Ulishawahi kusikia moshi inakosa madawati na madarasa, vituo vya afya vikakosekana, ukishawahi kusikia mkoa huu ndo umekuwa wa mwisho.

Acha wivu ndugu sio ajabu uko kwenu watoto wanakaa chini na hakuna ata vyoo vya kujistiri, maji ya bomba hamna na bado unataka umaarufu hapa

Rudi kwenu anzisheni vikundi vya kujenga kwenu na misaragambo Kilimanjaro ilmeshawaacha zamani
hata ktk hili mfanye nyinyi kama nyinyi, usitushirikishe kenye collabo ya taarabu wakati siye tushazoe hip hop(kuishi kibishi).. Kuweni bahati njema.
 
We kichaka kweli. Mara moshi mara marangu. Unaumwa Tezi sio bure
Wewe ni poyoyo kweli kweli

Kwa taarifa yako kata yangu ina shule tatu na kuna uwanja mmoja mtu alitoa ardhi yake na tushajenga shule ikifika siku ya graduation tunafanya harambee na kwa taarifa yako tuna shule ya kata ina mpaka maabara 2.

Karibu Moshi mjomba au mlete mwanao asome afaulu
 
hata ktk hili mfanye nyinyi kama nyinyi, usitushirikishe kenye collabo ya taarabu wakati siye tushazoe hip hop(kuishi kibishi).. Kuweni bahati njema.
Kwani hiyi shule wanasoma wachagga tuu au na watoto wa watanzania wengine mbona wewe u mbaguzi sana.

Rudi kwenu ukapajengeje na mjenge na shule, vyuo, hospitali, barabara, huduma za jamii etc

Tumeshawaacha mbali sana
 
Tushawahi sema humu, wachaga ni wabaguzi saaana,... Wakubali wakatae,... Itabaki kuwa ukweli...
Nyie vyasaka mna inferiority complex, huo ubaguzi uko wapi? kusema tu ni nyumbani imekuwa kosa. Nanyie hamjazuiwa kujivunia nyumbani kwenu.
 
Back
Top Bottom