"Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji.
Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C TanzaniaDaima....kwa wale mnaohoji source!
Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!
Ha ha kimenuka tena....nape noma kweli nape sasa kazi yako unaifanya kweli...umeacha watu wanavurugana kwenda mbelee..
Hata kadi kumi ila kuna ambazo mtu ataziweka makumbusho.kumiliki kadi 2 ni dhambi?
Wengine bwana munapenda kujiendekeza unamwita babu Dr Slaa unaweza kumlinganisha na katibu mkuu aliyepeta Babu Makamba au ajuza Msekwa nyie watu wa CCM wa hovyo sana,Makamba kwa akili za uzee alishawishi wana CCM wafungue kesi kwa akili za uzee na sasa wanalia wenyewe hao ndio mababu,mangula babu anatema mate tu pale kama makamu mwenyekiti,Kikwete babu Mchiriko mbono husemiKwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye frame kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi? alihoji.