Marando: Nape, Wasira, Sitta, Mwakyembe wana kadi zaidi ya 1

Kadi 2 amiliki Slaa, angemiliki Zitto ingekuwa dhambi ya mauti.
Pipozzzzzzzzzzzzz
 
Nape bado damu ya upinzani inazunguka, aliomba kupitia cdm kugombea ubunge akakosa sifa, akamua kuanzisha ccj

Huyo jamaa mnafiki sana
 
Hivi watu wa mataifa mengine si wanatudharau watanzani kusikia viongozi na wananchi wanabishana kuhusu umiliki wa kadi za vyama.vya siasa wakati kuna mambo mengi ya msing ya kushughulikiwa na viongozi hawa!
 
safi Marando kwa kuwaambia ukweli hawa watu hasa Sitta, Nape na Wassira
kina Nape walianzisha CCJ pamoja na Fred Mpendazoe lakini baadaye wakamsaliti Mpendazoe!
kina Nape ndio ndumilakuwili kwa chama chao maana mguu mmoja ndani mwengine nje!
 
"Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji.
Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C TanzaniaDaima....kwa wale mnaohoji source!
Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!
CHADEMA wamekubaliana kukaa na mamluki mlie mtuma Dr slaa kukisambalatisha chama.
Sasa kwanini nyie CCM msiuchune akamilishe kazi mlomtuma?

Nape kelele zenu mnaweza washitua wakamfukuza kabla hajakamilisha kazi mlomtuma.

Sasa tuwaeleweje?
 
Mkuu weka habari kamili kama ilivyo kuliko kuchukua kipengele kinachokuhusu wewe ukasahau kuwa kwa nini ameyasema hayo.Weka habari kamili sio paragraph moja kwa manufaa yako.
 
Kadi 2 amiliki Slaa, angemiliki Zitto ingekuwa dhambi ya mauti.
Pipozzzzzzzzzzzzz
Zitto hata bila kadi tayari ni mamluki kutwa kujipendekeza ccm na kwa jk.
Kwani wokovu huupata kwa sala au matendo?
Sasa linganisha matendo ya dr slaa na zitto nani kimatendo anawasaidia ccm? Na nani kati ya zito na dr slaa anatetewa na proccm? Shituka na kama we mwenyewe ndo zito badilika.
 
Hawa jamaa nchi imewashinda kazi kuanzisha hoja za kike kila siku. Madhara ya vilaza yanaanza kuonekana yani badala ya kutekeleza ahadi ili watu warudishe matumaini na chama linalokufa wao wanadhidi kujichimbia kaburi. Haya anzisheni singo nyingine ya kadi imeshachuja
 
"Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji.
Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C TanzaniaDaima....kwa wale mnaohoji source!
Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!
Afadhali mtu akutwe na dubu aliyenyang'anywa watoto wake kuliko na Mpumbavu katika Upumbavu wake.(umetaja za Dk.slaa na Marando tu.Za kina Nape,Wassira,Sita.Mwakiembe hujazitaja wanazo za ccm na za chama gani?.NA HAPA UPUMBAVU WAKO NDIPO ULIPO MNAFIKI MKUBWA)
 
“Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame’ kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?” alihoji.
Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C TanzaniaDaima....kwa wale mnaohoji source!
Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!

Hebu samahani wewe ni mwanaume au mwanamke
 
Msijidanganye nyie wasaliti wa CHADEMA, mko wachache sana.
 
“Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame’ kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?” alihoji.

Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C Tanzania Daima....kwa wale mnaohoji source!

Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.

Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!

Jamani ni bora mkae kimya CCM hamuiwezi au mjipange kivingine msitake wa2 tupitilize humu!
 
“Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame’ kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?” alihoji.

Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C Tanzania Daima....kwa wale mnaohoji source!

Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.

Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!
mkuu kundi hilo kubwa ni wangapi? Na ulilijuaje?
 
Peleka uzushi wako huko,kama umetumwa huku ndo penyewe,Slaa htoki tena ni rais wetu 2015
 
“Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame’ kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?” alihoji.

Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C Tanzania Daima....kwa wale mnaohoji source!

Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.

Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!

watu wa aina yako ni wale ambao hawana uhakika na kesho yao itakuwaje.

badala ya kuhoji walioiba pesa za Rada,EPA,Na fedha za Uswiss unaleta hoja mfu.pole kaombe pilau kwa jirani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom