Marando: Nape, Wasira, Sitta, Mwakyembe wana kadi zaidi ya 1

Marando: Nape, Wasira, Sitta, Mwakyembe wana kadi zaidi ya 1

Honey K

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2008
Posts
629
Reaction score
72
"Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji.

Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C Tanzania Daima....kwa wale mnaohoji source!

Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.

Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!
 
we unataka nini maana CCM mnachotaka CHADEMA wasambaratike ndio furaha yenu lakini CHADEMA itasonga mbele daima na kuchukua dola
 
Hilo kundi kubwa linalotaka ajiuzulu umelitoa wapi Masalia wenyewe hamfiki 10 na bado mnameguliwa
 
"Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji.
Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C TanzaniaDaima....kwa wale mnaohoji source!
Nape alisema kuna vigogo CDM wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CDM linalotaka Katibu Mkuu wa CDM Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!
Hapo nilipobold ni uongo wako. Hilo kundi Kubwa linalomtaka Dr ajiuzulu ni lipi? Au ni ccm wakishirikiana na masalia?
 
Kwa hiyo kama anamiliki kadi mbili sisi inatuhusu nini? Mbona wewe una ya kliniki na ya nyinyiemu hatusemi?
 
hata siku moja ondoa mawazo ya kwamba Dr anaweza kuwa CCM hizo ni mbinu za magamba kutaka kumshambulia Dr kwani amekuwa tishio na kuwatoa jasho kila kukicha kwa kuwa mbio zake zimeshinda wengi .chezea wengine sio Dr wa ukweli hata ukimwita babu huyo anazeeka umri tu ila sio mawazo
 
Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CDM linalotaka Katibu Mkuu wa CDM Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye![/QUOTE]

Nani kakuambia ndani ya CHADEMA kuna hilo kundi zaidi ya vibaraka wa nape a.k.a masalia!?I love u.
AkIli.
 
Mbona CCM wanaviongozi wengi (wengine ni mawaziri pia) wanamiliki kadi zaidi ya mbili? Mfano mzuri ni Mh.Wasira
 
Ha ha kimenuka tena....nape noma kweli nape sasa kazi yako unaifanya kweli...umeacha watu wanavurugana kwenda mbelee..
 
Chadema gogogoogoggogooooo endelea kukaza uzi dk slaa magamba ndo yanavuta pumzi ya mwisho hawajitambui mpaka sasa wanaropoka tuuu hahahahaahaaaaaa,. Cdm kiboko slaa tunakupenda kuliko hata unavojipenda
 
Viongozi wa CCM wameshindwa kutekeleza ahadi zao kwa wananchi sasa wanajadili kadi za waliokiacha chama!
 
"Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji.
Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C TanzaniaDaima....kwa wale mnaohoji source!
Nape alisema kuna vigogo CDM wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CDM linalotaka Katibu Mkuu wa CDM Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!

Hizi habari bila shaka utakuwa Umetonywa na Mama yako wakati akiwa na Marando kule Serena Hoteli
 
“Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame’ kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?” alihoji.
Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C TanzaniaDaima....kwa wale mnaohoji source!
Nape alisema kuna vigogo CDM wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CDM linalotaka Katibu Mkuu wa CDM Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!

Utakuwa na matatizo ya akili wewe huo upuuz uliouandika siku hizi hatuna nafasi ya kuusikiliza unatakiwa uhoji ziko wapi ajira millioni moja ulizoahidiwa na maisha bora?suala la kadi na maisha yako ya kila siku kunauhusiano gani?usiwe zuzu wewe...
 
Ajenda ya kadi ni ajenda inayokuzwa na mbumbumbu - Tundu Lissu (Wakili Jembe)
 
Hizi habari bila shaka utakuwa Umetonywa na Mama yako wakati akiwa na Marando kule Serena Hoteli
Umekosea kidogo sana...alinambia mamaako pale mapenzi guesthouse juzi
 
Kwani kadi ni mali ya nani mpaka iwe issue kubwa hivi. Kuna viongozi wengine CCM wana kadi ta TANU so utasemaje kuhusu hili??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom