Marando: Nape, Wasira, Sitta, Mwakyembe wana kadi zaidi ya 1

"Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame' kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?" alihoji.

Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C Tanzania Daima....kwa wale mnaohoji source!

Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.

Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!
Hivi suala la kadi mbili za Dr.W.Slaa limehitimishwa vipi?
 
“Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame’ kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?” alihoji.

Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C Tanzania Daima....kwa wale mnaohoji source!

Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.

Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!

Labda ni ww na propaganda zako ndo unaetaka afukuzwe ila cjapata kusikia kwa mtu mwingine yeyote kama umeishiwa hoja si ukae kimya?
 
“Kwanza tunajiendea kiutawala hatuna hata sheria inayozuia mtu kuwa na kadi za vyama vya siasa, mimi mwenyewe hapa nina kadi mbili kama Dk. Slaa, kadi yangu ya kwanza niliyoipata NCCR-Mageuzi nimeiweka kwenye ‘frame’ kwa kumbukumbu ya wajukuu zangu, mbona hawasemi?” alihoji.

Maneno haya kayasema juzi Kilosa na yamenukuliwa na gazeti Lao la M4C Tanzania Daima....kwa wale mnaohoji source!

Nape alisema kuna vigogo CHADEMA wana kadi zaidi ya moja,akashambuliwa sana...sasa wenyewe ndo wanajitaja hadharani.

Ikumbukwe kuwa tayari kuna kundi kubwa CHADEMA linalotaka Katibu Mkuu wa CHADEMA Babu Slaa ajiuzulu au afukuzwe kwani hawana Imani naye!

si bure umeshiba pilau la kualikwa eid naona unapunguza uchovu
 
kazi ipo..mimi ninakadi ya nmb, exim, acses bank. lakini ninayotumia sasa ni ya exim. Wana CDM twafahamu Dr alitokea CCM kama alivyokuwa wasira wakati fulani. sikumbuki nilini wasira alirudisha kadi ya CDM lakini kwa namna ya utendaji wake naamini ni mwana ccm damu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom