Hahahahahahhhh, anamuondoa Lusinde?Nasikia utagombea ubunge yahke! Naona umeanza kuanalaizi ishu sensitivu japo ulivyoanalaizi ni sawa tu na hamna
- Wewe umechaguliwa lini kuwa msemaji wa mtaani? hahahahahah kumbe unajipendekeza so unadhani wengine wote ni kama wewe unaona unajivua nguo mwenyewe
Le Mutuz
- Rais wa Jamhuri aache kazi zake za Taifa akahangaike na no body Marando ni nani kwani?
Le Mutuz
Inawezekana sana kuwa Ikulu imehusika 100% ... Ila JK kama JK nitakuwa wa Mwisho kuamini kuwa alihusika moja kwa moja! Mamlaka aliyokuwa nayo Rais wa Nchi hii makubwa mmno kiasi cha yeye kuweza kuamuru kupewa matofali ya dhahabu kutoka kwa Wakwapuaji wa ndani na nje kama alivyokuwa akifanya Mkapa! ...
sikuelewi, unataka tuamini kuwa dhahabu ni bora kuliko fedha tasilimu kiasi chote kile, au unajipendekeza? tambua muda ndiyo unaisha hivyo
Mwandishi mwenyewe said kubenea lile jizi lenye mdomo mwekundu ha ha ha ha.
kubenea kichwa chake kinawaza kupewa hela mda wote ni zaidi kunguru aliwahi kupewa hongo ndogo sana ili kumchafua mtu.
- Rais wa Jamhuri aache kazi zake za Taifa akahangaike na no body Marando ni nani kwani?
Le Mutuz
Katiba hairuhusu mtu aliyekua rais kushitakiwa. Wizi wake uzembe wake na makosa yake yanalindwa na katiba. Tukibadili katiba tutaweza kumfanya raisi pindi awapo madarakani kuwa na nidhamu na ofisi kuu ya nchi.
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
Akili ya kubenea haina tofauti na ile mtoto wa slaa hazivuki hata magoti.
Katiba ya Tanzania inachekesha.
Rais akiwa madarakani anaweza kuwa impeached akashtakiwa na hata kuondolewa madarakani/ kufungwa, in principle at least.
Akistaafu hawezi kuguswa kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais.
It is time we change this. It makes no sense. kama mstaafu hatakiwi kuguswa basi hata ile impeachment process for a sitting president haina maana.
Na kama impeachment process ina maana, basi hata mstaafu atakiwe kuwezekana kuwajibishwa.
- Mara anasema kwa uhakika mara ameambiwa mara taarifa zinasema, zile zile habari za kawaida za Kubenea toka alipoamua kujiunga na kundi linalomchukia Rais kazi kuandika uchonganishi na uzushi kama huu wa kitoto kabisa ila kwa vile kuna wanaoamini wanaweza kutumia uzushi huu kushika Ikulu basi ngoja wajipe moyo, hii habari ni ya kupikwa pikwa ndio maana haina uhakika mkajipange tena!!
Le Mutuz
Na hili ndilo nilikuwa nikiliona kama kosa kubwa la katiba ya warioba, nilitegemea kama ingekubalika bungeni kipengele hiki kifutwe ila katika ile nayo ilikuwa ikilinda maraisi kama miungu watu.
Nafasi tulio nayo nii yakuandika katiba mpya.. Kipengele cha raisi kushitakiwa nincha muhimu sana, kitatoa hofu kwa maraisi kutumia madaraka vema
Leo rais ana haribu kwasabab hapo alipo anajua hatoguswa, ila kwasasa tubadilike, kikwete awe ni raisi wa kwanza kwwnda mahakamani soon Mwakani mwezi wa kwanza
Mkuu haswaa hapo umenena maana binafsi nilichukia sana pale upinzani walipokubali kuingizwa mkenge na kuzungumzia serikali 2 au 3 wakaacha kufikiri kwamba CCM ilitaka ubishani wa serikali uchukue nafasi kubwa ya mazungumzo kiasi kwamba mambo muhimu kama haya yasipate kujadiliwa.Katiba ya Tanzania inachekesha.