JK should be impeached and arrested for the grand corruption involvement
Why should he be impeached while he said the escrow money was not public money? Has anyone proved him wrong? My president cannot lie.
JK should be impeached and arrested for the grand corruption involvement
Katiba ya Tanzania inachekesha.
Rais akiwa madarakani anaweza kuwa impeached akashtakiwa na hata kuondolewa madarakani/ kufungwa, in principle at least.
Akistaafu hawezi kuguswa kwa makosa aliyoyafanya akiwa rais.
It is time we change this. It makes no sense. kama mstaafu hatakiwi kuguswa basi hata ile impeachment process for a sitting president haina maana.
Na kama impeachment process ina maana, basi hata mstaafu atakiwe kuwezekana kuwajibishwa.
- Rais wa Jamhuri aache kazi zake za Taifa akahangaike na no body Marando ni nani kwani?
Le Mutuz
kikwete uwanaomba apotee na ndege ila haitokei sijuwi kwann hapandi malasia airline
kikwete uwanaomba apotee na ndege ila haitokei sijuwi kwann hapandi malasia airline
Kwa wajuzi wa mambo tunaamini kashfa za Richmond na Escrow hazitamwacha JK salama hata akiishatoka madarakani. Sioni atakapoponea kukanyaga kapeti la mahakama kuu. Bado ni suala la muda tu.
na tundu LISU ALISEMA nini?mbn no action ilichukuliwa kwake?- Rais wa Jamhuri aache kazi zake za Taifa akahangaike na no body Marando ni nani kwani?
Le Mutuz