01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa uchaguzi
- Somalia
- Burundi
- Zambia
- Mozambique