Marafiki

Katika Tanzania hakuna "urafiki wa kawaida" kwa watu wa jinsia tofauti!

Kwa walio wengi wanafuata sheria za "7 Habits" - Habit # 2 : Begin with the End in Mind!

Urafiki wa kawaida mwisho wake ni kubanjuana, kwa uzoefu wangu ninavyoona..
 
Hamna ubaya wowote kama kila mmoja anaheshimu mahusiano ya mwenzake kama mnayo...na urafiki wenu ukiwa wazi kwa wenzi wenu!
 
ha ha ha ha !!!!!!!kwa ulimwengu wa sasa hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke if ur reproductive organs are functioning properly, huyo ni jamaa yako tu. Labda ukituambia wewe unadifine vipi huo urafiki wenu tunaweza kundelea na mjadala. ila mi nnavojua ikitokea mmoja wenu akaoa au kuolewa huo ndo utakuwa mwisho wa ujamaa wenu.
 
hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke if ur reproductive organs are functioning properly. huyo ni jamaa yako tu ndugu. na ikitokea mmoja wenu akaoa au kuolewa nadhani huo ndo utakuwa mwisho wa ujamaa wenu.
 
Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta
hamna urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke lazima iwepo association ya jambo fulani(kazi biashara soka uanaharakati,ulevi,kuabudi nk)
 
hamna urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke lazima iwepo association ya jambo fulan(kazi biashara soka uanaharakati,ulevi,kuabudi nk)




Wakati mwingine tunataka sana kuwa uhusiano ulioutaja lakini tatizo huwa linakuja kwenu maana hamkawii kulalamika,"huyu jamaa nimekuwa karibu naye na nimemuonesha dalili zote lakini wala hanioni.."
 
Wakati mwingine tunataka sana kuwa uhusiano ulioutaja lakini tatizo huwa linakuja kwenu maana hamkawii kulalamika,"huyu jamaa nimekuwa karibu naye na nimemuonesha dalili zote lakini wala hanioni.."

St. PM, mimi nafikiri wanaume wanakosea sana, yaani mdada ukawa rafiki na mwanaume (hata kama huna nia mbaya), hawakawii kuanza kusema, "huyu naye anajipitisha pitisha kwangu"..mhhhh!!!!
 
St. PM, mimi nafikiri wanaume wanakosea sana, yaani mdada ukawa rafiki na mwanaume (hata kama huna nia mbaya), hawakawii kuanza kusema, "huyu naye anajipitisha pitisha kwangu"..mhhhh!!!!




Nimekusikia mama naomba basi mimi niwe rafiki yako....na sitaomba mengine ila usije tu ukauliza watu"Hivi mtakatifu Paka Mweusi ni mzima kweli ?"Mbona haniombi?
 
unataka uingi vichwani mwao ndo wakuelewe... !@#$%&...stick to your principles, mwenye kuelewa aelewe asielewa achape la!!!!:wink2:
 
hakuna urafiki wa hivyo hata siku moja sababu mkigusana tu tayari shoti ya umeme hisia zinaamka
Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta
 
hakuna urafiki wa hivyo hata siku moja sababu mkigusana tu tayari shoti ya umeme hisia zinaamka

Yani we ukigusana na mtu yeyote unapata shoti?Kaazi kweli kweli!Nwyz speaking from experience inawezekana na bado itazidi kuwezekana!!Ofcoz kuna wakati mmoja anaweza akaonyesha hisia kwa mwenzake ila upande wa pili usipounga mkono hizo hisia mambo yanaendelea kama kawaida!Mabadiliko yatatokea tu kama kila mmoja ana hisia na mwenzake!
 
Hakuna tatzo kuwa na rafiki wa jinsia tofaut na yako,unakuwa nae tu,mnabadilishana mawazo,mnasadizana mambo mengi tu,mbona mi ninae na tuna miaka mi2 sasa hakuna kilichojitokeza?amenionyesha mpenzi wake nami nimemuonyesha wangu na tunaheshimiana tu,mi nafikiri hakuna tatizo ktk hilo.
 
Hakuna ubaya wowote japo mara nyingine inakuwa vigumu ku-workout kwani katika mapenzi au mahusiano ya kimapenzi mara nyingi chanzo unakuwa ukaribu wa mtu na mtu ndo maana ni rahisi sana kwa mpenzi wako kutembea na rafiki yako
 
Nafikiri nilisha wahi toa thread humu kuhusu rafiki yangu mpenzi ambaye ni mwanaume na tumekuwa tukiheshimiana na kujaliana sana, nina marafiki wa kike lakini huyu wa kiume ni special friend ambaye nashukuru mungu kwa kunijalia kuwa naye. haijawahi hata siku moja kumtazama kwa jicho la pili hata nikiwa nina kipindi kigumu aje, nikikosea ananiambia na mimi pia
kwa hiyo aina hii ya urafiki inawezekana kabisa wote mkiwa na nia moja hakuna kinachoshindikana kabisa. kwa hiyo kama una rafiki yko wa jinsia tofauti wala usiogope ili mradi unajua wewe mwenyewe ukoje.
 
Back
Top Bottom