Marafiki

Desidii

JF-Expert Member
Oct 2, 2007
1,201
86
Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta
 
Hakuna ubaya wowote.. ila kifuatacho baada ya huo urafiki ndio kinaweza kuwa kibaya!
 
Hakuna ubaya ila uwe na mipaka

Mipaka ipo sana tena hata home kama kuna issue wanakuwa wa kwanza kufika sherehe, misiba nk nami kwao hivyo hivyo
Lakini jamaa haamini kama tunaishia hivyo wajameni
 
Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta

nani hakuelewi?....mbona humu Jf tupo marafiki wengi mchanganyiko....au wewe una matatizo?
 
Hakuna ubaya kuwa na rafiki ila unapaswa kuwa mtu wa kujiheshimu maana wengine wakiingia kwenye urafiki basi huanza kuwaza mambo ya mapenzi na hapo ndio hata uaminifu hupungua na kuvunja urafiki.
 
inategemea na aina ya marafiki ulio nao, ila maranyingi urafiki wa mwanaume na mwanamke huusisha mambo mengine ambayo huuvuka urafiki wenyewe
 
Kuna ubaya gani kuwa na marafiki (Si wapenzi) wa jinsia tofauti?? Mbona mie sieleweki wapendwa msaada kwenye tuta

Kwa maoni yangu hakuna ubaya lakini wakati mwingine urafiki huo huweza kugeuka na kuwa mapenzi baada ya mmoja wa wahusika kutoheshimu mipaka ya urafiki.

Jifunze kuwa ukishaolewa hutakiwi kuwa na marafiki wa karibu wa kiume. I mean wa karibu, tena wa kudumu. NOOO!
 
nani hakuelewi?....mbona humu Jf tupo marafiki wengi mchanganyiko....au wewe una matatizo?
kweli kabisa rafiki yangu wa jinsia tofauti:A S shade:

nadhani ataelewa tu akishazoea jukwaa
 
Back
Top Bottom