Marafiki wanne wamekufa katika ajali ya gari...! Cheki hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,059
2,000

car+accident+ikotun+lagos.jpg

Gari hili limepata ajali huko nchini Nigeria, ndani yake wamekufa marafiki wanne ambao walikuwa wametoka night club nchini hum. Miili ya marehemu imepelekwa mochwari ya hospitali ya Igando. Gari la ajali hiyo pia limepelekwa kituo cha polisi cha Ikotuni. R.I.P marehemu wote.
 
Dec 10, 2013
9
0
da inauma xaidi.bat wapendwa watz wezangu napenda kuwatakia heri ya marryxmax na mwaka mpya kwa kuwaomba kuwamakini ktk msimu huu wa skuku kwani ajali nyingi duniani kote and l do no y zis?
 
tofali

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
4,011
2,000
da inauma xaidi.bat wapendwa watz wezangu napenda kuwatakia heri ya marryxmax na mwaka mpya kwa kuwaomba kuwamakini ktk msimu huu wa skuku kwani ajali nyingi duniani kote and l do no y zis?

Xaidi....heri ya marryxmax...skuku......umesoma mpk la ngapi.???
 
Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
616
500
da inauma xaidi.bat wapendwa watz wezangu napenda kuwatakia heri ya marryxmax na mwaka mpya kwa kuwaomba kuwamakini ktk msimu huu wa skuku kwani ajali nyingi duniani kote and l do no y zis?

Ushazoea kuitwa xxxx ndo unaisi lugha sasa
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,362
2,000
Duh. Gari ilivyochakaa, isingekuwa rahisi kwa hao jamaa kupona
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,131
2,000
da inauma xaidi.bat wapendwa watz wezangu napenda kuwatakia heri ya marryxmax na mwaka mpya kwa kuwaomba kuwamakini ktk msimu huu wa skuku kwani ajali nyingi duniani kote and l do no y zis?

Ukitumia s badala ya x vidole vinakuwa vinawashwa kabang?
 
Bebz

Member
Dec 12, 2011
80
70
da inauma xaidi.bat wapendwa watz wezangu napenda kuwatakia heri ya marryxmax na mwaka mpya kwa kuwaomba kuwamakini ktk msimu huu wa skuku kwani ajali nyingi duniani kote and l do no y zis?

Hivi hauwezi kuandika neno zima? Acha kuharibu lugha bwana, it just take seconds kuandika comment.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom