Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,191

mmh....kunahitajika mayai ya bundi hapa....kung'amua huu utata....ngoja nimtafute yule muuza

hahahaha! Nichunie mwana, wabongo macho yashawatoka.

mmh....kunahitajika mayai ya bundi hapa....kung'amua huu utata....ngoja nimtafute yule muuza
Mbona kamati ya Mapokezi: ODM, Fidel80,GY ,Bigirita MTM na Teamo hujatuorodhesha kwenye hiyo list? Au kwa vile hatujajiunga na JE Saccos? Ngoja tujiunge, wageni watakoma!Sisi tumefunzwa ukarimu, nakupa majina ya wafuatao ukifika dar uje tukupe raha za duniani, LAT, KakaKiiza, The Finest, Mwenzetu, Jrated, LD, Husninyo, Newmzalendo, Babalao, Manundu, Carmel etc.
Hao madenti wenzako ni masharobaro, wanahisi unanuka vumbi la mkoa si unajua tena! lol
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu....
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
Mhhh,Uzoefu wangu ni kwamba Dar ni dunia nyigine...Watu wanaishi kama wako kwenye machimbo ya mawe na huko kwenye mashimo Oxygen haitoshi....Ni jambo linalositikisha ila kama mtu ni mwelewa na mwepesi wa kusoma mazingira, unaweza kuwapotezea na kusubiri hadi waje mikoani..Kuna baadhi ya washikaji heshima imerudi mara tu baada ya kutemblea huku mikoani na kupigwa dinner na mazaga zaga mengine!
Khaaaaaaaaaa!siku nyingine usiende Dar.....
siku nyingine usiende Dar.....
sis huyu mkuu miji mikubwa asiende, ajaribu Mombo,Mto wa mbu,Njombe na Namtumbo....siku nyingine usiende Dar.....
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu....
sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu wa Ukweli,,nimesoma nao kabisa,,,tumeishi pamoja chuoni... tumekula bata(kujirusha) pamoja wakati nipo nao chuo...!!! Maajabu nimewatafuta niwaone wamekua watu wa ma promise yasiyokua na fulfilment... Sasa mie nikajiuliza hawa vijana wanaoishi dar... wanatuchukulia vipi sie tunaotoka Mkoa... wanadhani ua tunakuja lia NJAA..kwao auuu??? Acheni ujinga bana, tunakuja na hela zetu za mavuuno ...!!!
ndo hiyo.....Khaaaaaaaaaa!
waambie bana, mi nikisema wataniita mzushi....Mambo yote mikoani
ili kukolezea ajaribu kutembelea na maeneo ya kule Sitimbi....sis huyu mkuu miji mikubwa asiende, ajaribu Mombo,Mto wa mbu,Njombe na Namtumbo.
uaafu ngoja nnikueleze kitu.. mtu wa ukimwambia .. yani ukimpa taarifa kwamba nataka kuja Dar... anakuagiza mambo ya kijingajinga meengiiiii.... mara Unga wa ugali, .... mafuta ya kupikiaa, .... etc... sasa mie ua najiuliza hawa viumbe vipiii!!!?? Ivi Dar hamna mafuta ya kupikia? hamna unga wa Ugali.. Waache Upuuzii.
Kwenye blue nimeipenda hiyo...tehteheeningekuwepo ningekuja kukupokea Ubungo kabisa......siku ukija Yaeda......nidip.....

Hee! yaani hutaki hata zawadi za nsansa,matobolwa,ntwili na mihogo..

u

Data inaonyesha wewe siyo mkarimu.>
Kama unamind mtu akikutuma unga wa muhogo unatakaje akupokee? Lol
Ndio cku nyingine uwe unatoa taarifa kabla haujaondoka huko CTIMBI.