Marafiki ni watu hatari zaidi kuwaweka karibu na mkeo/ mumeo/ mpenzi

Urafiki kati ya mke na rafiki unautengeneza wewe.
Kama hutaki wawe marafiki inawezekana kabisa. Usipende kuwakaribisha hovyo nyumbani kwako.

Na mke kuq na namba ya rafiki yako sio ajabu ni woga wako tu. Ni muhimu hiyo kitu kikubwa wasiwe na mawasiliano.

Na uzuri ni kua ww unawajua wote ko unawadhibiti kirahisi tu.
 
Uko sahihi kabisa,japo mm nilishatubu ila hiyo kitu ilishawahi kunitokea,
Rafiki yangu alifanya kijisherehe kabla ya kusafiri kikazi na hivyo akaniomba niwe msimamizi wa mkewe kipindi akiwa safarini,
Baada ya kula na kushiba tukiwa nyumbani kwake na jioni hiyohiyo ndio alikuwa anaondoka !
Kifupi baada ya jamaa kuondoka shem akaanza vibweka kila nikiaga ananiambia subiri kidogo,gafla kumbe kaenda kuoga na alivyoingia ndani kabwaga kanga huko huku akipaka mafuta ikabidi nijifanye nimelewa na kujilaza kwenye kochi,
Wazo likaniijia niondoke ile nanyanyuka na kushika mlango nakuta mlango ameulock!!
Nikiwa nimesimama mlangoni nikiomba anifungulie kaja kwa nyuma na kunishika dhakali dah!!
Nilisikia sauti ya shetani ikisema mpelekee moto wewe nami pasipo kujitambua nikamtii shetani kwa muda huo,ikawa imeisha hiyo
Hapo wala sikulaumu sababu jamaa alihalalisha mwenyewe
 
Kuna mke wa rafiki yangu ananikubali sana mpaka naona aibu mimi. Imefika kipindi ananichangamkia sana tena hata mbele ya mume wake

Huwa nikimkata jicho la wizi mwanangu pembeni huwa naona jinsi anakuwa na wivu kiaina.

Sipendi hii hali na wala sio sifa najua udhaifu wa wanawake ipo siku nitamla kimasihara kitu ambacho naomba kisitokee

Juzi Jumapili nilivaa na kweli nilipendeza akaanza kumwambia mume wake mbele yangu awe anavaa kama mimi, nilijishtukia sana ikabidi nibadilishe mada kwenye mazungumzo yetu

Jamaa ni mwanangu sana tumeanza kufahamiana kabla hajaoa. Ila hii hali inaweza kuvunja urafiki wetu

Wanawake sijui wanataka nini!
 
Duh huyo mwamba naye mvumilivu
 
Back
Top Bottom