Marafiki kutembelea Mbuga zetu...nani anaenda?

unajua bwashee,
raha ya zero pub ni mkienda ma-HE tu!yu noo woraa aai miini:D

Yeah! I knoo woraya saying. Si unajua tena unaweza kuteleza toilet sasa ma-she wakiwepo utakuwa msala. Hahahaha!
 
Pia wasaaa wa kuonaq simba wakimegana, they are very romantic if u know what I MEAN..

twiga wakitembea kwa madaha

tembo wakiranda randa huku na huko..

viboko wakiwa kwen maji lakini ngoja watroke usiku! we!

ndege wakiimba nyimbo nzuri

swala aina kwa aina wakitembea huku wakifurahia maisha..

so many more!
Nyani wakihangaika kuwaibia vitu vyenu, wale jamaa walishanifanyia mbaya manyara acha tu, camera ilienda.
 
Yeah! I knoo woraya saying. Si unajua tena unaweza kuteleza toilet sasa ma-she wakiwepo utakuwa msala. Hahahaha!
hehehe!you are almost dhea!unaweza muomba fl1 akusindikize toilets za HE..(kama ilivyo desturi ya zero-pub) AKASHINDWA KUELEWA!kwangu mimi itakuwa embarrassment kubwa sana!hehehehehe!pale zero tunasindikizwa toilet na tunaweza kaa huko hata 40mins:D
 
senks tayari mkulu,totoz zilizokuwa single zitakuwepo? sina mana mbaya lakini kwani huwezi jua wapi waweza pata mke bora,ha ahahaa

ili mradi hautamsogelea ZD....... kazi kwako kama huna kabamia. Hahahaha!
 
napata picha mambo yatakavyokuwa barabara kabisa ..mie nitakuwa pembeni nachukua matukio adimu sihitaji shughuli nyingine
 
hehehe!you are almost dhea!unaweza muomba fl1 akusindikize toilets za HE..(kama ilivyo desturi ya zero-pub) AKASHINDWA KUELEWA!kwangu mimi itakuwa embarrassment kubwa sana!hehehehehe!pale zero tunasindikizwa toilet na tunaweza kaa huko hata 40mins:D

hahaha! au yale majimama yalivyosokomezeana mavidole machoni kwa sababu ya kosa la mpwa fidel kuchukua kontakts kwa watu watatu at a go. Hahaha! kweli zero pub panafaa ma-He peke yetu.
 
hahaha! au yale majimama yalivyosokomezeana mavidole machoni kwa sababu ya kosa la mpwa fidel kuchukua kontakts kwa watu watatu at a go. Hahaha! kweli zero pub panafaa ma-He peke yetu.
hehehe!mpwa hii ni sredi kabbisa,to be diskasid kesho
 
Back
Top Bottom