Marafiki kutembelea Mbuga zetu...nani anaenda?

We nae husahau mambo ya zamani namna ile wakati enzi hizo tukicheza dimbadimba na mdako?
Hivi watu wa enzi hizi wote wako hai kweli?....wengine usikute walishajeruhiwa na mabandidu aisee!

hili lithread ukilifuatilia utacheka sana........siku hizo kulikuwa burdaaaan tosha........
 
Old is gold, umefukunywa wapi hiyo Preta vumbi lake sipati picha kama mafaili ya serekali yetu.
 
Last edited by a moderator:
ngoja nim-consult muzee wa house nitakuja na majibu A+B= C
mawazo mazuri sana kaizer hahaha mie nimezoea kuona watalii tu ndo wanatembelea mali zetu za asili akina sie mpaka tunadead tumesoma tu kwenye History sijui ni Siasa

tumepokea mapokeo ndio tatizo na hatuna utamaduni wa kutalii tubadilikeni si wazungu tu wanaoweza kufanya hutalii bali hata sisi twaweza na tunaweza ingiza mapato kwa manufaa ya taifa
 
Hii post nimeingia kichwakichwa nikajua ni new arrangements kumbe ni-kitambo hichooooo..rais nyerere.

Jamani mie najiwa na wazo kama sahivi ni zamu yetu wa-africa kwenda kutalii na kuwashangaa haooo waliokuwa wakija kushangaa kwetu..
Tuji-organise tukatalii kwao..tunapishana tuuu wakija kwetu hatupo na sie tukifika kwao hawapo...tukawaongezee mapato uchumi wao unayumbaje??

this time iwe utalii wa nje .. Na-propose tuanzie ugiriki tutaenda spain then tunamalizia portugal.
 
sawa mkuu.....Nadhani tuanzie Maldives......
 
Siku hizi utoto mwingi, mpaka watu wazima wanaongea maneno ya kitoto
 
siku hizi utoto mwingi, mpaka watu wazima wanaongea maneno ya kitoto

kaka wasamehee wameumiss utoto wao...hasa kipindi wanapokuwa na wazazi wao wanawakumbushia story za utoto wao hujihisi kuwa nao bado ni watoto..

Give it a try...kama wazazi wako bado wapo nenda kakae nao likizo hii uone unavyoji-feel kuwa bado ni mtoto tuu regardless how old you are.

Mtoto hakui kwa mzazi
 
Back
Top Bottom