we mpwa bana uko juu sana!umekula senksi yako banaPia wasaaa wa kuonaq simba wakiwamega YANGA, they are very romantic if u know what I MEAN..
twiga wakitembea kwa madaha
tembo wakiranda randa huku na huko..
viboko wakiwa kwen maji lakini ngoja watroke usiku! we!
ndege wakiimba nyimbo nzuri
swala aina kwa aina wakitembea huku wakifurahia maisha..
so many more!
Pia wasaaa wa kuonaq simba wakimegana, they are very romantic if u know what I MEAN..QUOTE]
Hapo wapwa watajua kama simba ana kibamia au mtarimbo. Punda nilishaionaga habari yake. Ni hatari tupu! Lol!
The Following 7 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post: Burn (Today),
Chaku (Today),
Chrispin (Today),
FirstLady1(Today),
Geoff (Today),
Lily Flower (Today),
Ziondaughter (Today)
JUST PM US MPWA!hatuwezi ku-disklozi dataz hapa wakati kuna vairas kibao😀senks hiyo safi,wekeni wazi tujue namna gani tutafanikisha,gharama mahali etz,ni muhimu pia
senks hiyo safi,wekeni wazi tujue namna gani tutafanikisha,gharama mahali etz,ni muhimu pia
hii naichukulia kama provional list. na tuendelee, wengine mnweza kutumia PM kama hapo panawazingua!
wakulu kama mtu una kiu saa hizi ni dalili ya nini? anake naimagine heineken pori aka ndovu sasa! dah!
hehehe!mpwa mpwa!usiitaje miting place ya wapwa!watakuja na kamera zao bureYou Can Say it Again! Naiona Shieni Bar hapa kwa screen yangu!
safi!ginga senksi kule juu then m-pm kaizer,then twende sawa au vip?I am in...!
JUST PM US MPWA!hatuwezi ku-disklozi dataz hapa wakati kuna vairas kibao😀
safi!gonga senksi kule juu then m-piemu kaizer ili twende sawa au vipi?I am in...!
ana hatari huyu, Inabidi venyu ibadilishwe haraka.hehehe!mpwa mpwa!usiitaje miting place ya wapwa!watakuja na kamera zao bure
kwa mwanzoni m-piemu kaizer!mimi nitapewa majukumu na yeye!hata ukini-piem mimi haina mbaya!i suggest um-pemu kaizer all the waysawa geoff,nitaku PM sasa hivi? nani anashughulikia?
ana hatari huyu, Inabidi venyu ibadilishwe haraka.
unajua bwashee,Hahaha! Itahamishiwa zero pub! Pale mlinzi anakaa na mtuu juu ya paa.
Gonga senks kwanza kule juu ili tujue kama umeunga mkono hoja. Hujaona maelezo kwenye thread binamu?
usijali Kunambi. Nipo mimi na wapwa wengine hapa.......tyutaendeela kuwasiliana la muhimu ni kukeep in touch na hii thread. na PM
pouwaaaaa!kwa mwanzoni m-piemu kaizer!mimi nitapewa majukumu na yeye!hata ukini-piem mimi haina mbaya!i suggest um-pemu kaizer all the way