Maradhi mengine, yanachekesha badala ya kusikitisha

Hiyo ki-medical inaitwa priapism. The penis erect continuously and constantly associated with pain. Mara nyingi huwapata wanaojidunda dawa za kulevya kupitia veins za kwenye penis. I Sound more professional, anyway mods, peleka hii thread kwenye forum ya doctors tukajadili huko.
 
Jokes aside nilisha-deal na mtu mwenye hii problem. Its a bad one! Japo hii picha imekuwa exaggerated kidogo.
 
Hapo mpaka apate kitundu chake ndo kitu kisinyae lasivyo labda apitiwe na usingizi
 
Da eh bwana nimevunjika mbavu asee,imebidi niwashirikishe na wenzangu nao mbv awana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…