Mara yako ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

MTU wa kwanza kuanza kumtongoza alikuwa mume wa MTU,nilitafuta namba ya simu kwa watu wake wa karibu...nikaanza chat nae alivyonitambua akajisogeza zaidi...haikuwa shida sana I just confessed to him.Yaan ilikuwa kama alikuwa anasubiri nitamke sikuzote...nakumbuka alinijibu tu haraka tuonane....aisee mbona baadae nikajikanda na maji ya moto yenye chumvi.Sikumtafuta tena,ila nilimpenda kiukweli uchu wake ulimponza
Ha ha haa ulipewa kichapo kikali
 
Niliandikiwa barua ya mapenzi na wasichana 2 (barua 1) wakati niko darasa la 2. Sikuijibu. Aliyeileta akaja tena kuniuliza. Nikakataa. Nilikuwa mdogo sana kujiingiza kwenye mapenzi wakati huo. Wale wasichana sijui walifikiria nini tu! Nao walikuwa wadogo sana.

Watoto wengi wanaanza kufikiria mapenzi toka shule ya msingi. Kuna siku walimu walipekuwa mifuko ya madaftari shuleni, wakalikamata barua za mepenzi lukuki. Na adhabu kwa waliopatikana nazo zilitembea sana. Kumbuka wakati huo kulikuwa hakuna simu.
Nilitongozwa kwa barua nikiwa kidato Cha tatu...
Na mwanadada mmoja hivi Mwenye jina la Jimbo moja huko USA maarufu kwa fukwe zake matata na mengine mengi...
Wiki nzima nilikuwa naitizama naisoma ile barua .. na ilinichukua wiki kuijibu..
Alikuwa Ni mwanamke wangu wa kwanza kumkiss aseh aseh aseh 😂
First love huwa Ni nyokoooo
 
Niliandikiwa barua ya mapenzi na wasichana 2 (barua 1) wakati niko darasa la 2. Sikuijibu. Aliyeileta akaja tena kuniuliza. Nikakataa. Nilikuwa mdogo sana kujiingiza kwenye mapenzi wakati huo. Wale wasichana sijui walifikiria nini tu! Nao walikuwa walikuwa wadogo sana.

Kuna siku walimu walipekuwa mifuko ya madaftari shuleni, wakalikamata barua za mepenzi lukuki. Na adhabu kwa waliopatikana nazo zilitembea sana. Kumbuka wakati huo kulikuwa hakuna simu.
daaaah ila zamani
 
Mara ya kwanza kabsa kisichana kilinitongozaga.. wenye visura vya mama mnatuchukuliaje nyie wadada
 
Dah
Nilikwenda nyumbani Kwao huyo binti walikuwa family friend,nilipokua naaga nikamrubuni anisindikize,tukajikuta chochoroni,nilimpeleka huko makusudi ili nipige sound gizani,
nikaanza kuongea ujinga wangu mwisho wa siku akaniambia ananichukulia kama kaka yake
Nikakosa maneno ya kuendelea nikasepa,sikuwahi mrudia tena,baada ya Muda kupita nikaambiwa na mdogo wangu,Fulani huwa anakuulizia,sikuwahi rudi tena
 
Sikuwahi kujua kama najua kutongoza hadi pale nilipikula tunda kwa mara ya kwanza.

Ilikuwa siku moja nipo form 2 nimeenda Jioni shuleni kucheck mazoezi ya mpira nikiwa na baiskel yangu ya gear nimevaa sweta pullover na nikiwa na walkman mfukoni earphones sikio moja

nikawa naimeenda bomba la shule kuosha bike yangu, nikakuta walimu wanafanya maandalizi ya mtihani wa 4m4

Mwalimu mmoja Pisi kali ajira mpya akaniambia usioshe hapo wenzio wanakunywa hayo maji huku akisogelea bombani.

akaukuza hiyo mfukoni ni simu au nini, nikamwambia hapana ni radio. nikaitoa akaionaakauliza unasikiliza nini? nikamwambia nyimbo. akachukua akaweka masikioni.

kile kidude kilikuwa kinadunda mziki balaaa. wajuzi wa sony walkman nadhani wanajua mbilinge lake.

Akasema niazime, basi nikampa. akatumia weeee, hadi kikaisha chaji asijue atanipataje

Kama siku mbili hivi akawa busy na mitihani, nilivyoenda kuchukua, akasema sikumpa chaji ajasikiliza vizuri. nikamwambia ngoja nikuchajie ntakuletea baadae.

Mjubwa nimetinga kwa ticha saa 4 usiku, nikagonga mlango akafungua nikaingia.

tupo ndani nikamwambia leo nimekuja kwako, huwa nafurahi sana kukuona. you real beautful.

by then nilikuwa na miaka 20yeye alikuwa na 28.
akasema acha utan. haya basi nione, nikawa namwangalia. akaingia chumbani akarudi na knguo kingine eeeeh kifupi hiviiii mapaja chuchu nzuriiii

daaaah nikadinda mzee, si akaniona akaanza kunicheka

Na mimi nikaanza kuweka pozi, aya nione mara nikae hivi mara vile akawa anacheka, akaingia chumbani akasema subiri.

akatoka na bikini na kisidilia juu, Aaaaaaaah Kmmmmmmk nikasema leoooo nimepatikana,

nikavua suruali na Tshit na sweta nikabaki na Boxer na Vest nikawa naweka pozi anione

mara tukakumbatiana mara tukaburuzana chumbani kuanza kupigana miti.

Sikuwa na uvumilivu mzee ile nimezamisha Wazungu hao, nikapiga ile mashine kama baada ya Dkk 30 mii hoi.

tukalala hadi asubuhi.

kulivyokucha nikashindwa kutoka kutokana na mazingira, akenda shuleni. mida ya saa 3 akaniletea vitafunwa na mchana chakula tukakubaliana ntaondoka jioni watu wakipungua

basi ndio yakawa maisha yetu. hadi nikazaa mtoto wa kiume na yule ticha

Hadi leo hii mtoto ana miaka 18 yule ticha hajawahi kuolewa wala kuzaa. Mke wangu hajui kama nina mtoto na hata wazazi wala ndugu zangu hawajui.

zaidi namsomesha mtoto, amemaliza form 4 amepata Div. 1.

Sasa huyo ticha ananisumbua Tuzae tena angalau apate mtoto mwingine

ana mwili mzuri huwezi jua kama ni mmama.
 
Form 2,,una miaka 20??,,,,umetupiga bati mzee,,,,
 
MTU wa kwanza kuanza kumtongoza alikuwa mume wa MTU,nilitafuta namba ya simu kwa watu wake wa karibu...nikaanza chat nae alivyonitambua akajisogeza zaidi...haikuwa shida sana I just confessed to him.Yaan ilikuwa kama alikuwa anasubiri nitamke sikuzote...nakumbuka alinijibu tu haraka tuonane....aisee mbona baadae nikajikanda na maji ya moto yenye chumvi.Sikumtafuta tena,ila nilimpenda kiukweli uchu wake ulimponza
UlIpelekewa moto hatari
 
Kwa upande wangu macho huwa yanamaliza kila kitu sina haja ya kuongea

Nikikuangalia zaidi ya mara tano au sita umeisha Narudia tena hiyo kazi inakuwa imesha
Wakati nipo form4 teacher wetu wa chemistry alikua mrembo kwelikweli, darasani ilikua kila macho yetu yakigongana ananionyesha tabasamu lile la aibu aibu ya kike, basi tabasamu lake ndio lilikua linanimaliza kabisa.
Nilitokea kumpenda sana madam mpaka muda mwingine nashindwa kuzuia hisia zangu.
Siku moja tuko darasani kama kawaida baada ya macho yetu kugongana na kutabasamu bana nikamkonyeza akawa anachekacheka, baada ya kumaliza kipindi (kengele ya break time) akaniambia anikute ofisini.
Kufika ofisi kwake akanigeuzia kibao eti kwa nini nikiwa nafundisha hua unaniangalia sana usoni halafu leo umekosa adabu umenikonyeza?
Daaaahh nikabaki nimeduwaa niliishiwa pozi, nikamuuliza madam niongee ukweli au nijitetee tu hata kwa kusema uongo?
Akanikazia niseme ukweli
Nikamwambia kwanza kabisa madam naomba radhi unisamehe kama nimekukwaza, mimi mwenyewe hii hali siipendi, ila kila nikiiona sura yako najikuta nashindwa hata kujizuia mpaka leo nimefikia kuchupa mipaka na kukukonyeza, madam kiukweli najitahidi sana kukuondoa akilini mwangu lakini nnashindwa, muda mwingi hua nnakuwaza wewe tu, hivyo kila nikuonapo hua nnahisi furaha sana moyoni mwangu.
Madam akatabasamu tu halafu akaniambia Necta inakusubiria mwaka huu acha hayo mawazo yako utafeli shauri yako.
Akaniambia huku ananiregezea macho njaa tu inakusumbua wewe huna lolote, haya chukua hayo maandazi mawili hapo ukanywe chai nibakizie yangu mawili.
 
Wakati nipo form4 teacher wetu wa chemistry alikua mrembo kwelikweli, darasani ilikua kila macho yetu yakigongana ananionyesha tabasamu lile la aibu aibu ya kike, basi tabasamu lake ndio lilikua linanimaliza kabisa.
Nilitokea kumpenda sana madam mpaka muda mwingine nashindwa kuzuia hisia zangu.
Siku moja tuko darasani kama kawaida baada ya macho yetu kugongana na kutabasamu bana nikamkonyeza akawa anachekacheka, baada ya kumaliza kipindi akaniambia anikute ofisini.
Nini kiliendelea?
 
Back
Top Bottom