Wanaume: Ilikuwaje mara yako ya kwanza 'kula tunda'

The MaskmaN

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
216
500
Hello Guys

Leo ningependa tushee visa, hisia, vituko n.k

Ilikuwaje kwa mara yako ya kwanza kupata utamu/kuingiliana na mwanamke/ku do /kula tunda /kuonja papuchi?

Mie nakumbuka ilinichukua takribani Nusu Saa kusimama kwa Hofu niliyopata mpaka mdada wa watu akaanza kuingiwa na Wasi wasi lakini alikuwa hana namna maana alikuwa anaitaka kwa udi na uvumba

Nilivyo fanikiwa kuingia pangoni asee mpaka leo hiyo kumbu kumbu haijanitoka kichwani mwangu.

Kwa ufupi mwezi mzima nilikuwa nawaza lile tendo mpaka naenda toi kwenye kioo najitazama kama ni mie nimepata ile rahaa

KWAKO NA WEWE
 

The MaskmaN

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
216
500
Kwenye mechi wote tulikuwa wageni Ila nilijifanya najua

Nilivyokuja kuweka Ile kitu baada ya purukushani ya kukosea njia na upinzani Toka upande wa pili nilienda speed zaidi ya maglev train(Shanghai maglev)267 mph nakuja kushusha mzigo nimeloa jasho na miguu inatetemeka
asee ile kitu acha kabisaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom