Me situmiagi.
Zinaniwashaga sana.
mmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!
Wakuu itakuwa sio vibaya tukikumbushia enzi hizo mara yako ya kwanza kwenda dukani or pharmacy kununua kinga, puto a.k.a c*ndom, ilikuwakuwaje. Mie nakumbuka nilipiga hodi dukani zaidi ya mara tatu, mara zote nkifika tu shop naahirisha kwa kuona soo, vp nyie wadau kwenu ilikuwaje japo najua sio kwa wote waliowahi tumia hii bidhaa.
Me situmiagi.
Zinaniwashaga sana.
mkuu umewaza nini?
rough rider ni nzuri sana, wala haziwashi, zinaongeza hamu kwa upande wa mwanamke. Try it, but dont try at home.
Ila ukubali ushatumiaga Madame, la sivyo ungejuaje ka zitakuwasha? Hahahaaa
Me situmiagi.
Zinaniwashaga sana.
dah haya mambo magumu aise
Unaenda pharmacy unaangalia kama kuna mtu unamfaham au kama ni mtu mzima hivi unaona soo aise kuagiza unazuga unaangalia dawa au unaagiza asprin kumbe shida yako ni madude
Duh ni balaa mkuu aise
Wapi sasa Guest au uchochoroni?
charminglady imagine umeenda pharmacy ukakutana na mama mtu mzima na heshima yake na una shida ya hayo makitu utathubutu kweli utaishia kuzuga eti unatafuta asprinteh teh Mr Rocky........
dah haya mambo magumu aise
Unaenda pharmacy unaangalia kama kuna mtu unamfaham au kama ni mtu mzima hivi unaona soo aise kuagiza unazuga unaangalia dawa au unaagiza asprin kumbe shida yako ni madude
Duh ni balaa mkuu aise