Mara ya mwisho uliona lini ......!!!?


Mwambie Mkwere aitishe mkutano bila kuwasomba na malori toka vijijini kama atapata umati wa namna hii. Kama akipata basi haki ya CHADEMA shahidi JF ntakupa 1M bureeee!
 
Augustine Mrema alivutia watu Wengi zaidi ya Hivi nchi Nzima! Kaishiaje?
 
Kuwa makini na hali ya maisha na umaarufu wa watu: Malizi methali hizi...Ngoma ikilia sana.......................; Ivumayo................................
 
kuna mtu akiona hivi usiku halali tumbo linamuuma balaaa
 
sasa ndio nini wakati wenzetu wamechukua madaraka wingi wa watu sio kuchaguliwa wabongo njaa ndio homa yetu sio utekelezaji
chdema hoye midomoni sio ktk kura just 2015 slaa in da house
Conquest- wazee out vijana in:hand:
 

Nakupinga wingi wa watu matters a lot hasa kwa hali ya sasa ya tz, kwa taarifa yako dr slaa ni kichwa kila anayemsikiliza na mwenye akili timamu lazima atulie unless kwa vilaza.
 

comment yako inaonyesha km unapumuliwa kisogoni hivyo huoni husikii unahisi raha tuuuuuuu:usa2:
 

Elimu hadi chuo kikuu - bure, matibabu - bure, pita mitaani hukuti hata Matonya mmoja....
....Utendaji ZERO? Lahaula walakwata.!!!!!!!!:A S 13::A S 13::A S 13:
 

Sio kosa lako ndugu,pole kwa kushindwa kutambua ukweli,hata Yesu alipokuja kuukomboa ulimwengu wapo walio mkubali na kumpinga hivyo sishangai kwa ww kuamua kupingana na ukweli.DR SLAA ni noma endelea na mapambano mpaka watanzania tutakapokombolewa.
 


sasa mbona hawaendi kwa kikwete kusikiliza kama walivyoenda hapo? ccm bye bye
 
Dah nyomi kubwa...kuna mtu mwenye picha ya best yake aweke tuone kama...anaweza kusogelea?
 
Omugabo hii chikokoooooo!
 
Daah, mi kiukwel ndo nliona kipindi cha uchaguzi..
 
MUngu Ibariki Tanzania, Mungu Bariki CHADEMA na wote wenye mapenzi mema kwa Nchi yetu inayoliwa na wezi Serikalini
 

Thread inauliza MARA YA MWISHO ULIONA LINI.....???? sasa haya maneno yanakujaje wewe mtoto wa kike, Nenda LOLIONDO ukakeketwe.
 
Hiyo inaonyesha wananchi wamechoka wanataka mabadiliko, si kwa CCM tu bali hata kwa chama chochote kingine kitakachoshika hatamu. Ki ujumla tumechoka tunahitaji badadiliko tena ya kivitendo, sio kila siku watu wanabuni, misemo. hali mpya..........??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…