Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

Wakuu nifanyeje ninenepe last time napima uzito February nilikua nina 54KG, 5.8Ft
Nikaanza dozi ya uji wa ulezi sijapima bado ila bado naona kamwili kapo vilevile
 
Back
Top Bottom