Kulialia na bei ya kilo ya nyama ni kwa sikukuuu zisizo za mwisho wa mwaka tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,034
Wakati wa Ramadan na hatimaye sikukuu ya Iddi Ndio Watu huweka mazingatio kwenye bei za vyakula na sababu zinaeleweka Lakini siyo Wakati wa Sherehe za Mwisho wa mwaka ambazo Hazina mfungo wala nini.

Watanzania muwe waelewa, biashara zote zina kanuni na mifumo yake.

Kilo ya Nyama 10,000 basi kelele kila kona, acheni hizo.

Ni hilo tu!
 
Back
Top Bottom