Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

Dah,Niko najuta hapa🙆🙆🙆
 

Attachments

  • IMG_20240311_191533_690.jpg
    IMG_20240311_191533_690.jpg
    3.5 MB · Views: 5
Urefu lazima uendane na uzito vizuri, hapo utapata balansi safi...huko ulaya hizo kilo za kuanzia 80 hadi 90 na kitu wachezaji tena wakubwa wanazo sana tu, kinachofanyika wale hujali sana wanachokula BMI lazima isome kama inavyotakiwa... Wachezaji kama Haaland, Rodri wa man city wanaonekana tu kuwa na kilo zaidi ya 85 lakini si unaona mwili ulivyobalansi vizuri sisi hushindwa hapo.
 
Back
Top Bottom