Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

Pa kushika papo, ke akiwa na 70-75 anakuwa na stake nzuri⛷️⛷️⛷️
Kabisa hujaongopa 70-75 kwa ke mwenye urefu wa wastani ni uzito mzuri sio bonge wala mwembamba kila nyama inatulia mahali pake, ikipungua 70 unachuchuka sana, ikizidi 75 unaanza kuonekana kibonge,, tuna kazi sana kumaintain miili hii
 
Back
Top Bottom