Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 1,108
- 2,687
kwa mwanamke sawa, mwanaume ukiwa na uzito huo haipendeziNo 55 ni nzuri
kwa mwanamke sawa, mwanaume ukiwa na uzito huo haipendeziNo 55 ni nzuri
Urefu je? Kilo chache sana hizo😂Wiki ilopita nlipima nkawa na 60kg
Mi napendaakwa mwanamke sawa, mwanaume ukiwa na uzito huo haipendezi
5.9ftUrefu je? Kilo chache sana hizo😂
😬😬, Nimefikiria kwa upande wa mke wake anayefua huu mu-suruali, atakuwa anapata tabu sana kuufua..Jamani 😀😀😀 msuruali? Ita tu suruali mkuu
Ni mnene sanaaUna uzito wa Buffalo, nyumbu, nyati 😅😅😅
Hivi Mwanamke kiafya anatakiwa kuwa na Kilo ngapi mkuu maana ninapo elekea kama tembo.Kilo za n'gombe na nguruwe izo fanya zipungue pungue mkuu,
Izo kilo sio nzuri kwa mustakabali wa afya ya kitanzania..
Ungekua jirani yangu ungekonda kwa Masimango..Hivi Mwanamke kiafya anatakiwa kuwa na Kilo ngapi mkuu maana ninapo elekea kama tembo.
Ngoja ushindwe ishuwekeni basi maujanja ya kuongeza kilo tuchukue challenge
60 Yani natia aibuMimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
Ulitaka uwe na Ngapi mkuu?60 Yani natia aibu
50 -55 😭😭😭😭😭Ulitaka uwe na Ngapi mkuu?
Hapo sawa.....50 -55 😭😭😭😭😭
Ukiwa begani natembea nao freshHapa mkuu huwezi kubeba mfuko wa Cementi kutoka sehemu moja mpaka nyingine
Hii sawa mkuu77
Nimeanza utaratibu wa kukimbia km1 kwasiku Kila siku Jioni na huku ni maporini mazingira hayana vikwazo
Sitishi hata kidogo😅😅Mwonekano ni wa kawaida sana hakuna nyama wala kitambi. Wewe ndio unatisha, kwa mwanamke 87kg nyingi sana