Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,611
- 8,739
mi baada ya mavi kunibana siku hiyo nilikunya sana ndio niakaangalia uzito
Mwonekano ni wa kawaida sana hakuna nyama wala kitambi. Wewe ndio unatisha, kwa mwanamke 87kg nyingi sanaHaina shida kivipi minyama yote hiyo???
Bora mie wa kike minyama inaweza ikawa sio tatizo sana kimuonekano ingawa kiafya najua sio sipo sawa.
Jaman 65 nyingi? Yaan hapa napambana zifike 75 😁😁
Hw65 week iliyopita nimeshuka kilo13
😅😅😅😂😂😂Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
Hapa mkuu huwezi kubeba mfuko wa Cementi kutoka sehemu moja mpaka nyingine40kg tangu mwaka 2016 hadi sasa hata nile msosi vp siongezeki uzito
Yeshuo uzito kwa mwanaume ni mdogo sana, ongeza ufike angalau 70kg-80kg.
Una uzito wa Buffalo, nyumbu, nyati 😅😅😅
Ongezea ongezea uzito mdogo angu at least kwa MWANAUME uwe na 70kgs-80kgsMm namfatisha janabi nina 58 age 26 yrs urefi 5:8
Kilo za n'gombe na nguruwe izo fanya zipungue pungue mkuu,115 nashukuru huu mwezi mtukufu umenifanya nipungue uzito
haahaa kuna changamoto nlipitia best ndio maana nikadrop sana ila naona ni kilo nzuri kwa afya yangu kwasasa.
Poleeehaahaa kuna changamoto nlipitia best ndio maana nikadrop sana ila naona ni kilo nzuri kwa afya yangu kwasasa.
Hadi hapa nilipofikia namshukuru sana Allah ilikuwa ni hatari kabla ya mwezi RamadanKilo za n'gombe na nguruwe izo fanya zipungue pungue mkuu,
Izo kilo sio nzuri kwa mustakabali wa afya ya kitanzania..