ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,661
- 90,133
Niko sawa kabisa, niambie nipunguze menu sio gym.Tena kubwa sana...twende Gym
Niko sawa kabisa, niambie nipunguze menu sio gym.Tena kubwa sana...twende Gym
Kwa mwanamke huyu ni mrefu....
Hapana aisee...sijui una urefu kiasi gani lkn upo over weight utakuwa unatisha....nikishawahi kufika 93 ilikuwa balaa si kidogo...sasa hivi nina 87 bado najiona mzito sana.Niko sawa kabisa, niambie nipunguze menu sio gym.
40kg tangu mwaka 2016 hadi sasa hata nile msosi vp siongezeki uzito
Kwahiyo tupunguze mawazo au tatizo nini.
Kumbe hatuchekani, yaani 87kg vs 92kg nani wa kumcheka mwenzake🤣Hapana aisee...sijui una urefu kiasi gani lkn upo over weight utakuwa unatisha....nikishawahi kufika 93 ilikuwa balaa si kidogo...sasa hivi nina 87 bado najiina mzito sana.
Kwa mwanaume hizo kilo ni nyingi punguza.
Kweli hatuchekani lkn inashangaza mwenzangu unajiona sawa😅😅Kumbe hatuchekani, yaani 87kg vs 92kg nani wa kumcheka mwenzake🤣
Urefu wako ni CM au M tafadhali?Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
Kuna kipindi zilipanda hadi 97kg, hapo nikawa na wasiwasi kidogo. Ila kwa uzito huu wala sina shida, halafu sio mrefu..utashangaa! Ila kumbuka hatuchekani.Kweli hatuchekani lkn inashangaza mwenzangu unajiona sawa😅😅
Haina shida kivipi minyama yote hiyo???Kuna kipindi zilipanda hadi 97kg, hapo nikawa na wasiwasi kidogo. Ila kwa uzito huu wala sina shida, halafu sio mrefu..utashangaa! Ila kumbuka hatuchekani.
No 55 ni nzurihuo uzito kwa mwanaume ni mdogo sana, ongeza ufike angalau 70kg-80kg.
Una kg ngapi mkuu?
Jamani 😀😀😀 msuruali? Ita tu suruali mkuuDaa, hapo huo mu-suruali utakuwa na Kg 5 🤒.
View attachment 2944533
Huyu jamaa kama mm tu, nimefatilia comments sioni hata anayeongelea misosi ya kuongeza uzito kidogo, Sina stress lkn nmepungua sana nini shida wazee! NB Sina ngoma, Nahtaji Cha kufanya nirudshe kilo 5 zangu.Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524