Andre-Pierre
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 336
- 1,238
Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?
Wewe ni kimbau mbau aka fido dido🤣.Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
huo uzito kwa mwanaume ni mdogo sana, ongeza ufike angalau 70kg-80kg.Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
Huyu ni wewe?Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524
Daaah nimecheka sanaVua viatu na jeans kisha pima tena. Ukifika japo 50 njoo uniite mbwa😊
hapana bwanaVua viatu na jeans kisha pima tena. Ukifika japo 50 njoo uniite mbwa😊
Naona umekula Yeezy kiatu ya bei ghali sana mkuu😂Mimi nilikuwa na kilo 56, ni kama wiki tatu zimepita sasa. Wewe je ulikuwa na ngapi?View attachment 2944524