Mara ya kwanza kununua Condom ilikuwa hivi

Mara ya kwanza kununua Condom ilikuwa hivi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
16,654
Reaction score
18,805
********************* Nilienda dukani,nikakuta na mrembo anayeuza hapo dukani,nikawa naona aibu kusema nataka kununua Condom,akagundua mwenyewe na kuniambia unataka salama eeeh? Nikasema ndiyo,akaniambia unataka pakti ngapi? Nikamwambia mbili yenye condom tatu kila moja jumla condom 6.

Aliniona sijawahi ku- do, akaniambia unafahamu kweli jinsi ya kutumia salama? Nikamwambia hapana,a kafungua pakti na kuifungua salama moja, akaanza kunionyesha jinsi ya kuvalisha, akaanza kuivaalisha kwenye kidole chake cha gumba na kunieleza kwamba unavalisha hivi.

Bado akaniona nashangaa tu, akaniambia hivi ushawahi kweli kusex? Nikamwambia hapana, sijajaribu hata mara moja, akaniambia njoo ingia humu nyuma ya shelfu nikuonyeshee jinsi ya kutumia salama, akafunga mlango, akaniambia nivae kama alivyonielekeza, nikaanza kuvaa, duh si akalala chali, akaniambia fanya hivi na hivi.

Baada ya up and down kama kumi nikasikia kitu hicho tse tse tse tse tse tse,tse. Si akaruka juu na kunisukuma na kusema ""weeh! Mbona nahisi unyevu flani umevaa kweli salama? Nikamwambia nimevaa kwenye kidole gumba kama ulivyonielekeza. Now wiki ya 3 anasema anahisi mimba.Jamani nifanyaje sijapanga kumwoa
 
Duh kumbe kweli Giza ni rafiki yake Usiku. Mimi nilienda Guest kufika kumbe ile nyumba sio Guest ni nyumba ya kupanga! Kha
 
Naomba Condom, nimetumwa shule kufanyia test ya maji.....
Class 6 hapo.... Mwanza
 
Back
Top Bottom