The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,808
- 123,895
Ongezea na hii mkuu "Maali"Mala????
Ongezea na hii mkuu "Maali"Mala????
Ndumbula ndema jikulonda ifya bhanduNdumbula ndema(Moyo mjinga) mambo!,
hahaaa, naloli ndema aiseeNdumbula ndema jikulonda ifya bhandu
mkuu usiombe kabisa ,mimi ni kibonge sanaMimi nataka nikutane na financial services, manake napenda kitu portable easy to cary..... [emoji6]
Usiniambie, au ndio technique ya kunifukuzia mbali...mkuu usiombe kabisa ,mimi ni kibonge sana
Kumbe hamjiamini kiasi hicho!!kwa kweli mko brave...
si hivyo mkuu, bali nataka tu ujue mapemaa, siyo siku unaniona ukatoka nduki nusura kuvunjika heheeUsiniambie, au ndio technique ya kunifukuzia mbali...
Unatoka nduki kama comrade kipepe wa sani.... Tehehesi hivyo mkuu, bali nataka tu ujue mapemaa, siyo siku unaniona ukatoka nduki nusura kuvunjika hehee
Leo Nimekutana na member wa JF.
kiukweli nimefrahi sana tulikubaliana siku ya jumamosi kuwa tukutane maali, nikweli leo tumekutana na ilikuwa bonge la furaha. Ninyi watu sana mliojitoa mhanga nawapongeza sana kwa ujasiri nawahakikishia tutaendelea kushirikiana kwa raha na shida. Mungu awabariki. [emoji119] [emoji119] [emoji120]
anaongea Kama mkuu wa mkoa.Mala????
hii ni nyakyusa tribe mkuuhehe tribe
wakolomije utawaweza basiSio Ajabu Ilo Maana Wenzio Twakutana Nao Sana Ila Tunakausha Tu Hatufungulii Uzi
Bila shaka mlikuwa mnaviziana, kuna mmoka aliwahi sana eneo la tukio na kuna aliyedanganya rangi ya nguo zake.Leo Nimekutana na member wa JF.
kiukweli nimefrahi sana tulikubaliana siku ya jumamosi kuwa tukutane maali, nikweli leo tumekutana na ilikuwa bonge la furaha. Ninyi watu sana mliojitoa mhanga nawapongeza sana kwa ujasiri nawahakikishia tutaendelea kushirikiana kwa raha na shida. Mungu awabariki. [emoji119] [emoji119] [emoji120]
Aibu nimeona mimi
Cc MO11
Ndyo hivo sasa, yanini kumvunja miguu mtoto wa mwanamke mwenzangu, sitaki mimiUnatoka nduki kama comrade kipepe wa sani.... Tehehe
halaf hii mi inanishangaza sana, kuna watu sehem za 'a' anaweka 'ha', kuna siku nilimcheka rafk yake broo ambae alikua kazoea kuja nae nyumbn, na haikua mara yang ya kwanza kumbe alikua ananilia tyming tuu, baada ya ambaye akasema hambaye(siwezag kujizuia mtu akichapia lazma nimcheke, mda huo broo hakuwepo alitoka kdg kwaio tukawa wawili tu) aisee yule jamaa ile nanyanyua tu mdomo alinitia bonge la banzi, palikua na sahan mezan niliona kama beseni kabati kila nikiaangalia naona inataka iniangukie, bro anarud anakuta watu kimyaaa(sikumwambia mana alikua ananikanya sana). Watu wengne n roho mbaya tu, umri wangu kipnd kile na mkofi ule mpk leo najiuliza hv je angeniziba ngoma za masikio? mana nilikaa dk km 20 hv natumia sikio moja kusikia
Leo Nimekutana na member wa JF.
kiukweli nimefrahi sana tulikubaliana siku ya jumamosi kuwa tukutane maali, nikweli leo tumekutana na ilikuwa bonge la furaha. Ninyi watu sana mliojitoa mhanga nawapongeza sana kwa ujasiri nawahakikishia tutaendelea kushirikiana kwa raha na shida. Mungu awabariki. [emoji119] [emoji119] [emoji120]
😀Ndumbula ndema jikulonda ifya bhandu