Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,498
- 18,268
Atawanasa tu hao anaowataka ila Mimi binafsi kuanzia majina ni fekiUsishangae hata huyu anakutega, ameandika kwa very inferior language ili kuwalevya baadhi yetu kumbe ana yake
Atawanasa tu hao anaowataka ila Mimi binafsi kuanzia majina ni fekiUsishangae hata huyu anakutega, ameandika kwa very inferior language ili kuwalevya baadhi yetu kumbe ana yake
Hahaaa, ni hyo username yako mkuu Kwa lugha yetu ni sawa na nilivokutafsiriaItabidi uwe mkalimani,maana sijui hilo neno la kiarabu sijui umekaa uarabuni?
Aaah kwenu itakuwa nyanda za juu bila shaka,sasa sijui kwann mi wa kanda ya ziwa nalitumiaHahaaa, ni hyo username yako mkuu Kwa lugha yetu ni sawa na nilivokutafsiria
Mkuu ndo unampoteza kabisaAisee. Usisahau penye R weka R
Atawanasa tu hao anaowataka ila Mimi binafsi kuanzia majina ni feki
Umeona ehee.kwa kweli mko brave...
Mjasiri haachi asiri .Mala????
Yes,for sure ni nyanda hizo mkuu na nilidhani ni wa huko pia. Vipi lina maana yoyote huko kwenu pia?Aaah kwenu itakuwa nyanda za juu bila shaka,sasa sijui kwann mi wa kanda ya ziwa nalitumia
Nimemkaribisha kwenye twisheeeni,nimegundua ni ndugu yangu huyu, R na L ni tatizoMjasiri haachi asiri .
Yaani mwenzio kaona bonge la sikukuu kuonana na Miss Natafuta.Sio Ajabu Ilo Maana Wenzio Twakutana Nao Sana Ila Tunakausha Tu Hatufungulii Uzi
Yeah hata mm pia mkuuYes,for sure ni nyanda hizo mkuu na nilidhani ni wa huko pia. Vipi lina maana yoyote huko kwenu pia?
Mkuu ndo unampoteza kabisa
Ahaaaa [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nimemkaribisha kwenye twisheeeni,nimegundua ni ndugu yangu huyu, R na L ni tatizo
Wapi Mkuu?Nimemkaribisha kwenye twisheeeni,nimegundua ni ndugu yangu huyu, R na L ni tatizo
Ilikua "raisi" wawapi???Awa watu tumekuwa na ukaribu kwa muda mpaka tukaamua kukutana sio mchezo japo kila mmoja alifika kwenye eneo kwa taadhali kubwa ila mimi sikupata shida make nilikuwa wakwanza ivyo ilikuwa raisi kuwaona.