LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
hehe tribeHahaaa, ni hyo username yako mkuu Kwa lugha yetu ni sawa na nilivokutafsiria
hehe tribeHahaaa, ni hyo username yako mkuu Kwa lugha yetu ni sawa na nilivokutafsiria
alishakwambia hana churaMala ya kwanza nataka nikutane na Miss Natafuta nimkague kuona kama chura ipo!
halaf hii mi inanishangaza sana, kuna watu sehem za 'a' anaweka 'ha', kuna siku nilimcheka rafk yake broo ambae alikua kazoea kuja nae nyumbn, na haikua mara yang ya kwanza kumbe alikua ananilia tyming tuu, baada ya ambaye akasema hambaye(siwezag kujizuia mtu akichapia lazma nimcheke, mda huo broo hakuwepo alitoka kdg kwaio tukawa wawili tu) aisee yule jamaa ile nanyanyua tu mdomo alinitia bonge la banzi, palikua na sahan mezan niliona kama beseni kabati kila nikiaangalia naona inataka iniangukie, bro anarud anakuta watu kimyaaa(sikumwambia mana alikua ananikanya sana). Watu wengne n roho mbaya tu, umri wangu kipnd kile na mkofi ule mpk leo najiuliza hv je angeniziba ngoma za masikio? mana nilikaa dk km 20 hv natumia sikio moja kusikiaNina brother zangu wawili wana tatizo hapo kwenye 'ha' na 'a'.. Huwa nawacheka sana wajirekebishe.
hamna nitakuwa kawaida tu[emoji23][emoji23][emoji23] Unataka univunje mbavu zangu eeeh?
Nitakuwa tayari kuonana na wewe ikiwa tu utakubali siku hiyo tuonane watatu yaani mimi, wewe na baba swalehe maana nataka siku hiyo niongeze miaka 20 ya kuishi[emoji16]hamna nitakuwa kawaida tu
we sema tuonane
huyo baba swalehe ndo nani ?Nitakuwa tayari kuonana na wewe ikiwa tu utakubali siku hiyo tuonane watatu yaani mimi, wewe na baba swalehe maana nataka siku hiyo niongeze miaka 20 ya kuishi[emoji16]
Mimi nataka nikutane na financial services, manake napenda kitu portable easy to cary..... [emoji6]Ndumbula ndema(Moyo mjinga) mambo!,
[emoji23][emoji23][emoji23] Embu niachane na wewe nijenge kwanza taifa la stars.huyo baba swalehe ndo nani ?
kwanza akakae na mama swalehe
au baba swalehe ni mchekeshaji ?
Duuuh! Ya kweli haya rafiki?Naungana mkono hojaa
usijenge taifa subiri tulipake rangi[emoji23][emoji23][emoji23] Embu niachane na wewe nijenge kwanza taifa la stars.
😂😂😂😂😂 lol.Atakae kutana na mimi nampa bilion 1