Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,128
- 54,709
Leo Nimekutana na member wa JF.
kiukweli nimefrahi sana tulikubaliana siku ya jumamosi kuwa tukutane maali, nikweli leo tumekutana na ilikuwa bonge la furaha. Ninyi watu sana mliojitoa mhanga nawapongeza sana kwa ujasiri nawahakikishia tutaendelea kushirikiana kwa raha na shida. Mungu awabariki. [emoji119] [emoji119] [emoji120]
errors [emoji51] [emoji51] , andika kitu kinaeleweka basi unakimbilia wapi.