Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Nimemshangaa sana! Ndo maana kijana kamili anashauriwa kupitia walau JKT ili walau awe na akili timamu!Huyo bwege hajui lolote
Sasa mtu anashangaa buti ya komando kuchakaa, sijui anadhani jeshini ni dukani ambapo viatu hutundikwa tu kwa shelf! Kiatu kinafanya kazi haswa, hiyo ni ndula ya kazi sio ya kukatia mauno!
Viva maroon platoon, viva commando battalion!