Mara paaa!! Lowasa Arejesha kadi ya chadema.


mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,687
Likes
5,535
Points
280
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,687 5,535 280
Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Makamanda walokunywa MAJI YA BENDERA watazimia kumwona RAIS WA MIOYO yao anasepa
 
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,993
Likes
14,262
Points
280
Al-Watan

Al-Watan

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,993 14,262 280
Tatizo la siasa za Afrika sehemu nyingi ni kwamba zinazungukia watu badala ya sera.
 
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,687
Likes
5,535
Points
280
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,687 5,535 280
Tuondolee nuksi wewe na li uzi lako hamna hata anaelichangia!!!! Unaonekana wewe ni mwana mtoka pabaya!!!! Shubamiiiit!!!!
Mkuu nina imani sana na lowasa ila dah siasa mkuu dah any way
 
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Messages
2,263
Likes
1,313
Points
280
Age
40
busy bees

busy bees

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2016
2,263 1,313 280
Mara paaa mtu kakushtua usingizi ukakata ndoto yako ikaishia hapo hapo.
Ndo hivyo hivyo mlivyosema .... oooh NDOTO hiyo LOWASSA hawezi hama CCM ... na hata akihama CHADEMA CHAMA MAKINI HATUWEZI KULIPOKEA HILO JIZI .... but alipokuja huko huyo mlomwita JIZI kawa RAIS WA MIOYO YENU .... makamanda wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa kama mlonyeshewa MVUA YA VULI .... hebu waone makamanda wenzio
img-20170617-wa0015-jpeg.633745
 
gnkoswe

gnkoswe

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Messages
200
Likes
91
Points
45
gnkoswe

gnkoswe

JF-Expert Member
Joined May 6, 2017
200 91 45
Ndo challenge hizo hivi hujui ile nyomi ya moshi Jana watu hatujalala usingizi!?
 
kirikuu.com

kirikuu.com

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Messages
390
Likes
453
Points
80
kirikuu.com

kirikuu.com

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2014
390 453 80
Mara lowasa kupokelewa rasmi dodoma
Ungejisikiaje?
Ningeoga maji ya kuondoa mikosi.maana ni ndoto mbaya kuwahi kutokea kwa mwanaadam wa leo hii tena katika dunia hii.ushauri wangu we muanzisha huu uzi."lala kisha nawa uso,usipige mswaki maana kinywa chako hakitanuka.ndipo uamke sasa
 
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,687
Likes
5,535
Points
280
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,687 5,535 280
Ningeoga maji ya kuondoa mikosi.maana ni ndoto mbaya kuwahi kutokea kwa mwanaadam wa leo hii tena katika dunia hii.ushauri wangu we muanzisha huu uzi."lala kisha nawa uso,usipige mswaki maana kinywa chako hakitanuka.ndipo uamke sasa
Mkuu bora iwe ndoto tu kwakweli
 
kidamva

kidamva

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,574
Likes
1,667
Points
280
kidamva

kidamva

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,574 1,667 280
Bado CCM mnamwaza Lowassa tu?
 

Forum statistics

Threads 1,237,564
Members 475,562
Posts 29,293,785