PreGE2025 Mara: Jimbo la uchaguzi Serengeti kugawanywa kuwa majimbo mawili, Serengeti Mashariki na Serengeti magharibi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi.

Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi aliongoza kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Uwekezaji ambapo aliwataka wakurugenzi wa Halmashauri kujiandaa kuweka mikakati ya ukusanyaji wa mapato ili kutekeleza miradi ya maendeleo ya wananchi.

Hatua hiyo inakuja wakati tayari Tume huru ya taifa ya uchaguzi(INEC) imetangaza mchakato wa kupokea mapendekezo ya kugawa majimbo zoezi linaloendelea kuanzia Februari 27 na litakamilika Machi 26 mwaka huu.

Kulingana na tangazo la Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi INEC, Jaji Jacobs Mwambegele Tanzania ina jumla ya majimbo ya uchaguzi 264 ambapo Bara kuna jumla ya majimbo 214 na visiwani Zanzibar yakiwa 50

Kusoma Habari hii zaidi tembelea epaper.ippmedia.com

Chanzo: Nipashe
 
Watu wanajitaftia tu ilaji, hakuna manufaa kwa wananchi.

Mgawanyiko wa majimbo uwe unafanywa kwa referendum kwa wanachi wa eneo husika kushiriki na kukubaliana na mgawanyo badala ya wanasiasa kuamua.

Kuongeza Majimbo ya uchaguzi ni kuongeza tu gharama za kuendesha serikali.

Tume ya uchaguzi ikatae hizi stori za kugawa majimbo. Magufuli alikataa na hatujaona tatizo lollote, tume pia ikatae.
 
#Repost @nipashetz
——
Wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Mara (RCC) wamepitisha Jimbo la Uchaguzi la Serengeti kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi.

Mkuu wa Mkoa wa Mara Evans Mtambi aliongoza kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Uwekezaji ambapo aliwataka wakurugenzi wa Halmashauri kujiandaa kuweka mikakati ya ukusanyaji wa mapato ili kutekeleza miradi ya maendeleo ya wananchi.

Hatua hiyo inakuja wakati tayari Tume huru ya taifa ya uchaguzi(INEC) imetangaza mchakato wa kupokea mapendekezo ya kugawa majimbo zoezi linaloendelea kuanzia Februari 27 na litakamilika Machi 26 mwaka huu.

Kulingana na tangazo la Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi INEC, Jaji Jacobs Mwambegele Tanzania ina jumla ya majimbo ya uchaguzi 264 ambapo Bara kuna jumla ya majimbo 214 na visiwani Zanzibar yakiwa 50

Kusoma Habari hii zaidi tembelea epaper.ippmedia.com

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheDigital
1-Majimbo yapunguzwe, 2-majina ya majimbo yaweza halisi siyo kusini au mashariki nk, 3-pawe na ukomo wa ubunge miaka kumi tu. 4-viti maalum "ke" viondolewe bali viwe vya makundi km wakulima , wazee, wastaafu, wafugaji, vijana, walemavu, nk (watatu kila kundi).
 
Tunahitaji Ibrahim nchi hii
 
Kodi zetu zinafunjwa sana kuwanufaisha watu wachache, ilaaniwe serikali dhalimu ya CCM.
 
1-Majimbo yapunguzwe, 2-majina ya majimbo yaweza halisi siyo kusini au mashariki nk, 3-pawe na ukomo wa ubunge miaka kumi tu. 4-viti maalum "ke" viondolewe bali viwe vya makundi km wakulima , wazee, wastaafu, wafugaji, vijana, walemavu, nk (watatu kila kundi).
Haoo maalumu wanavopenda kutoa vitu maalumu wapewe viti maalumu sijui utakuwaje tu...
 
1-Majimbo yapunguzwe, 2-majina ya majimbo yaweza halisi siyo kusini au mashariki nk, 3-pawe na ukomo wa ubunge miaka kumi tu. 4-viti maalum "ke" viondolewe bali viwe vya makundi km wakulima , wazee, wastaafu, wafugaji, vijana, walemavu, nk (watatu kila kundi).
Ni kama una HOJA..disadvantage group wapo wengi
 
Huu ugawaji wa majimbo hauna tija! Jimbo la Nzega liligawanywa kuamua mnyukano wa Bashe na Kigwangala ila jirani yao kuna jimbo la Bukene ni kubwa balaa.
 
Wangoreme na Waisenye jimbo lao na Wakurya jimbo lao
 
KUHUSU SERENGETI MCHAKATO HUU ULICHELEWA SANA, SERENGETI TUNA TAKRIBANI KATA 30, MAENDELEO HAFIFU, USIMAMIZI WA JIMBO ZERO..NAHS SERENGETI TUNA MBUGA KUBWA HALAFU MAENDELEO ZERO
 
kugawanywa na kupata majimbo mawili ya uchaguzi ambapo majina ya majimbo yanayopendekezwa ni Serengeti Mashariki na Serengeti Magharibi.
Mkoa wa Mara hatunaga mambo ya Mashariki na Magharibi, hayo majimbo yatafutiwe majina yapewe. Moja libaki na jina la Serengeti lingine lipewe jina jipya liitwe hata Mugumu
 
KUHUSU SERENGETI MCHAKATO HUU ULICHELEWA SANA, SERENGETI TUNA TAKRIBANI KATA 30, MAENDELEO HAFIFU, USIMAMIZI WA JIMBO ZERO..NAHS SERENGETI TUNA MBUGA KUBWA HALAFU MAENDELEO ZERO
Kiazi mwingine huyu hapa anaetetea nafasi ya mtu maendeleo hayaletwi kwa kugawanya ilipaswa ipatikane mamlaka ya mji
 
hatuko serious mnaongeza wabunge Barabara mbovu,maji hakuna badala ya kuwapunguza fedha ziende kujenga Barabara,kuleta maji, aisee,Kila halmashauri moja iwe na mbunge mmoja tu
 
Kiazi mwingine huyu hapa anaetetea nafasi ya mtu maendeleo hayaletwi kwa kugawanya ilipaswa ipatikane mamlaka ya mji
Mimi ni kiazi, lakini wewe ni kimoloo tena cha fisi!
Sikiliza wewe, unajua kuna mamlaka za miji na bado kuna majimbo zaidi ya mawili?
Unaijua wilaya ya bunda ina majimbo matatu na bado kuna mamlaka ya mji!
Kama ishu ni mamlaka ya mji, basi hapakuwepo na umhimu wa wilaya ya bunda kuwa na majimbo 3 ya uchaguzi badala yake ilitakiwa iwepo yale mamalaka ya mji wa bunda pamoja na jimbo moja..
UMESIKIA WE NYAU! SIASA UCHWALA ZITAWAMALIZA.
 
Kwako kilaza ndio zitakumaliza hiyo bunda iliyoganwanywa ina maendeleo gani unatetea nafasi ya mtu mmoja shenzi type serengeti itakuwa maskini kila siku kwa kukosa vipaumbele mnakalia siasa tena za chama kimoja shenzi typ
 
Sasa poyoyo unataka chama gani kitawale huko nyau wewe!
Serengeti ni mojawapo ya wilaya ambayo imeongozwa na vyama vyote viwili tofauti, badala yake maendeleo tuliyashudia chini ya mwamba mmoja anaitwa wanyancha!
The rest, serengeti haihitaji chama kuendelea bali inahitaji mtu mwenye maono regardless anatoka chama gani..kumbuka vyama vya tanzania ni saccoss za watu,
Sawa GREAT IDIOT.
 
Back
Top Bottom