MARA: Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili

MARA: Baba ampa mimba mtoto wake, abaka wengine wawili

Hawezi kamwe kumsamehe mumewe kwa kufanya jambo baya kama hilo. Ikiwa mama alikuwa amemuonya mumewe, mambo yangekuwa bora sasa
 
Unashangaa?
Lazima nishangae hizo assumptions zako na estimations zako umezitoa wapi hadi ukafikia hiyo conclusion yako ktk watu wapumbavu duniani ni sie wanaume

[emoji3]nadhani hujawa kutana matukio yenu ya kustajaabisha
 
USIUSISHABIKIE SANA HAYA
KUNA LAANA WANA JF WALIZIPATA HUMU KWA MAPOAT KAMA HAYA NDUGU NA WENGINE KUCOMMENT ANYONGWE OOH AFANYWAJE U KNW WHAT??
YULE BABA TOKA ARUSHA NA MILARD AYO NAHISI ALIMREKODI

ALIOMBA KWA MUNGU ATOWAHI FANYA HAYO NA MTOTO AKITOKA APIMWE DNA
MTOTOWAKE WAKIKE ALITAKA AOLEWE MZEE AKAGOMA JAMAA ALIMLETEA DHARAU WAKAUNGA KESI

ACHA TU YULE MZEE WAMEPIMA DNA HAKUNA KITU SIOWAKE SIKUMBUKI ILE POST ILKIANDIKWAJE HUMH UKISOMA N LAANA LAANA KILA ALIECOMMENT

NASHAURI HAYAMAMBO TUYAFAGILIE WAKISHAZALIWA WATOTO NA SIKUHIZI AWAFUNGI OVYO WANASUBIRIA NTOTO WANAPIMA OLE WAKE SIO WAKE

YULEBABA ALIKAA MAHABUSU SIJUI MDIO NDAN MNASEMA MIEZI KADHAA ACHA TU NA MVI KAMA ANAKUFA KESHOO.. MUNGU ATUSAMEHE
Pdiiiiiiiììiiiiiiidy

Oyooooòoooòoo.
 
Naona watu wanahukumu upande mmoja kwenye hii issue. Tunasahau jamii zetu zimejaa migogoro ambayo mingi hupelekea kubambikiziana kesi na kuuwana. Mnakumbuka kesi ya yule dogo wa Morogoro ambaye alikuwa anaomba msaada wa kumtoa baba yake jela? Anasema mama yake wakishirikiana na mjomba wake walimtengenezea kesi ya kumbaka huyo dogo kipindi akiwa mdogo sana kisa pesa ya compassion ya familia masikini. Dogo kawa mkubwa anasema alitumika. Kesi nyingi za kubaka hata wanafunzi zilitengenezwa hasa kipindi cha JK, watu wakapiga pesa
 
Kila mtu analaumu hakuna aliyejiuliza maswali yafuatayo?
1.baba na mama wakifungwa watoto wataishi na nani?
2.wanawake wangapi wanabakwa je, hajawahi au hawasamehe?
3.Ni kweli baba hao ni watoto wake?,kinachofanya mtu awe baba ni DNA pekee kisheria
4.je kama ni watoto ndio waliombaka baba?, nani mwenye ushahidi
 
Una mawazo mazuri sana...safi sana.
(Nahisi haina akili timamu).
 
Kila mtu analaumu hakuna aliyejiuliza maswali yafuatayo?
1.baba na mama wakifungwa watoto wataishi na nani?
2.wanawake wangapi wanabakwa je, hajawahi au hawasamehe?
3.Ni kweli baba hao ni watoto wake?,kinachofanya mtu awe baba ni DNA pekee kisheria
4.je kama ni watoto ndio waliombaka baba?, nani mwenye ushahidi
Hebu nenda ukabake halafu uje na hivi visentensi vyako!

Tutakunyoosha kama rula.
 
Back
Top Bottom