Allah AkbarTakbiiiiiiiiiiiiir
Allah AkbarTakbiiiiiiiiiiiiir
Bora wewe unayesema ungekuwa ndo huyo mama, usingemsamehe huyo bazazi lakini mimi ningekuwa kwenye mamlaka, ningemtia ndani na huyo mama akakae angalau kwa wiki moja ili atie adabu.
Yaani seriously anakiri kwamba huyo mumewe ilikuwa ndo mchezo wake na amekuwa akifanya hhivyo kwa muda mrefu na ameshawahi kumkuta redhanded!!
Hapo inaonesha hiyo mimba ndo imebumburua kila kitu halafu sasa ajifanye kuiomba serikali imchukulie hatua kali! Watoto watatu, wote wadogo anawagonga, hivi inawezekana wote hawakuwa wanamwambia let alone siku alipomfumania!!!
Hata huyo Jesus aliyesema samehe 7x70 kama kweli alisema, I believe wala hakumaanisha kwa mambo ya kishenzi kama haya.
🤣🤣🤣 umeona ee!Hatari mzee! Watu wangeshupuza shingo hadi sio vizuri, kuna yule kenge wa kujiita joz....
Mi mwenyewe nimetoka kapa nikaona nipite tu kimyaeh, mkuu ulivyoandika!!!!
Eeeh !!!Asilimia kubwa ya watu wapumbavu duniani ni wanaume.
Huko Kanda pendwa?kuna jamaa alibaka mtoto akaishia kupewa adhabu ya kupigwa viboko 12
only in tz
Kasie who??Wazazi, kabla hujaruhusu Binti yako aolewe, hakikisha akili ya mkweo (mume wa Binti yako ina utu au ubinadamu).
Sidhani kama kuna mzazi atafurahi kuona wajukuu zake wanaishi maisha ya unyanyasaji wa kijinsia.
I hate gender violence to both parts, men and women.
Kasie Platinumz.
Hii Kazi unaweza kuifanya?Hii mbaya sana aisee..akili za ajabu kabisa hizi! Huyu hata kumfunga haisadii..huyu ni kugonga pumb.u zake kwa nyundo na kuzisaga kisha anaingiziwa spoku kwenye tundu ya dhakari yake!
Kasie who??
Back to topic .huyu baba ni mbuzi
Kama stories sio ya kutunga Hugo mm ni mpumbavu
Ukimfanyia hivyo anakufa, hivyo hawezi 'kufaidi' adhabu.Hii mbaya sana aisee..akili za ajabu kabisa hizi! Huyu hata kumfunga haisadii..huyu ni kugonga pumb.u zake kwa nyundo na kuzisaga kisha anaingiziwa spoku kwenye tundu ya dhakari yake!
Ukimhasi anageuka shoga! Yaani ni muendelezo wa kutukwaza!Ukimfanyia hivyo anakufa, hivyo hawezi 'kufaidi' adhabu.
Tulishashauri kwenye visa kama hivi, wahasiwe tu.
Maana ukiisha mhasi hata umpe mtoto akulelee, mwanao utamkuta salama