Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,262
- 4,052
Na hapo machangudoa wako active 24 hours. Vip kama wangedhibitiwa?!!!
Bibie wazee wanaangalia idadi ya ng'ombeWazazi, kabla hujaruhusu Binti yako aolewe, hakikisha akili ya mkweo (mume wa Binti yako ina utu au ubinadamu).
Sidhani kama kuna mzazi atafurahi kuona wajukuu zake wanaishi maisha ya unyanyasaji wa kijinsia.
I hate gender violence to both parts, men and women.
Kasie Platinumz.
kisha anaingiziwa spoku kwenye tundu ya dhakari yake!
eh, mkuu ulivyoandika!!!!USIUSISHABIKIE SANA HAYA
KUNA LAANA WANA JF WALIZIPATA HUMU KWA MAPOAT KAMA HAYA NDUGU NA WENGINE KUCOMMENT ANYONGWE OOH AFANYWAJE U KNW WHAT??
YULE BABA TOKA ARUSHA NA MILARD AYO NAHISI ALIMREKODI
ALIOMBA KWA MUNGU ATOWAHI FANYA HAYO NA MTOTO AKITOKA APIMWE DNA
MTOTOWAKE WAKIKE ALITAKA AOLEWE MZEE AKAGOMA JAMAA ALIMLETEA DHARAU WAKAUNGA KESI
ACHA TU YULE MZEE WAMEPIMA DNA HAKUNA KITU SIOWAKE SIKUMBUKI ILE POST ILKIANDIKWAJE HUMH UKISOMA N LAANA LAANA KILA ALIECOMMENT
NASHAURI HAYAMAMBO TUYAFAGILIE WAKISHAZALIWA WATOTO NA SIKUHIZI AWAFUNGI OVYO WANASUBIRIA NTOTO WANAPIMA OLE WAKE SIO WAKE
YULEBABA ALIKAA MAHABUSU SIJUI MDIO NDAN MNASEMA MIEZI KADHAA ACHA TU NA MVI KAMA ANAKUFA KESHOO.. MUNGU ATUSAMEHE
Bibie wazee wanaangalia idadi ya ng'ombe
Well said Kasie ,umesema yote utendaji ndio changamoto kubwa ,kuna jamii za ajabu Sana, tutawakumbuka sana wahenga waliokua wakichagulia wazazi wetu nyumba ya kuoa/kuolewaIfike mahali kama bride price au mahari ni kuthaminisha unamiliki mtu au nakupa mwanangu, iondolewe kabisa.
Pia kuoa na kuolewa ifike mahali iwekewe vigezo kabisa ambavyo havitengenezwi kwa miezi mitatu kama maandalizi ya harusi, bali vigezo hivyo vinaandaliwa tangu mtu ana miaka sita.
Maana yake wazazi wa pande zote watahusika na maandalizi ya watoto hao kukidhi vigezo vya kuwa mke / mme. Na ambaye hataotimiza vigezo basi hatipata mke wala mme hata awe na pesa au awe hendisamu au biutifuli.
Hii ingejenga discipline ya hali ya juu kwenye jamii maana naamini hakuna mazazi asiyetaka moto wake awe hohehahe ambaye yupoyupo tuu mtaani haoi, haolewi anawapa mimba tuu wasichana hovyo au anabeba mimba na wanaume tofauti tofauti.
Najua sio wote wangeingia kwenye ndoa wapo ambao wangepatikana wakaidi ila kwa wale waliolelewa na kukuzwa kwenye maadili na vigezo vya kumuandaa binadamu mwenye utu, utashi, hekima, busara, kujitambua, kujiamini kwenye manufaa, n.k. wa kufanana na hayo basi jamii yetu ingekuwa na kesi chache sana kama hizi za baba kumlala binti yake wa kumzaa, hata kama aligundua hao watoto wote sio wake bado anakuwa na utu na utashi wa kusitiri faragha ya watoto wale na kuwaacha waje kuishi maisha yao.
Jamii ya leo, wazazi hawana discipline, watoto wanaona baba yuko na mchepuko wake mtaani obvious nao wakikua wataona ndo maisha na jambo la kawaida. Watoto wanashuhudia mama analiwa na fundi chumbani kwa baba yao au muuza genge au anamahusiano na mfanyakazi mwenzie kazini ambao wanaleta mahaba yao hadi nyumbani na watoto wanaona au bosi wa mama yao. Hapo watoto wanajenga ufahamu kuwa mama kuchepuka ni jambo la kawaida.
Watoto wanashuhudia wazazi wanapigana na kugombana mbele yao, wanajawa na hulka ya ugomvi na ukorofi na wakija kuwa na ndoa zao hata wakipata wenzi wataratibu bado wataanzisha vurumai tuu sababu walikua kwenye mazingira ya ugomvi, matusi, ulevi, ukarofi na ustaarabu sifuri.
Kuna vitu unaweza kuvumilia kwenye mahusiano sababu hakuna mwanadamu mkamilifu, ila kuvumilia vipigo, kubakwa na manyanyaso kwa watoto ni mbaya sana maana inaharibu saikolojia nzima ya mtendwaji na washuhudiaji.
Hiyo ya kuangalia mali, ni tamaa tuu. Mtoto wa kike thamani yake ni kubwa mno saa ingine nawaza ningekuwa na binti nisingetaka aolewe maana binti huwa anajitoa sana kwa wazazi, sasa akiolewa anahamishia kujitoa kwenye familia alikoolewa. Ila kukiwa na discipline kwenye jamii ipandwe kwa watoto tangu wadogo na wazazi / walezi nao waishi hiyo discipline matatizo mengi sana ya jamii yataisha.
Kasinde.
kuna jamaa alibaka mtoto akaishia kupewa adhabu ya kupigwa viboko 12Sichangii lolote linapotokea Kanda pendwa kwani wamejaliwa kila aina ya laana! Sijui kangi atamwitaje huyu poti? Malaika au roho wa upako?
Wee jamaa bwana kila koment yako ni noma sana[emoji23][emoji23]Noma sana!
KESI NYINGI ZA KUBAKA NA KUBAKANA N MICHONGO USIPOKUWA NA HELA UNAOZEA NDANI MILELE NA WANAKUSAHAU.. KAMA HUYO MZEE ALIEKAA NDAN MDA WOTE AKISAKIZIWA KAMKOJOLEA MWANAE
MTOTO ANAZAA KYPIMA DNA NA BABU SIO WAKE
WANGAPI WANAPATA MSAADA HATA KUFIKIA HUKU KUPIMANA DNA LEOO WAKO MAGEREZANI
SIOWOTE WENYE KESI WAMEZITENDA ZINGINE MBAMBIKOO
Mashetani...
Wanaosema wanawake ni mashetani...haya..sasa...wanaume ndio haooo...
Hakuna la afadhali hapo..laana mbaya kwenye familia hii... ...
Duuh!Yafaa achinjwe abanikwe wataoweza kumla wamle na wali. Siyo mtu huyo mwamba.
TakbiiiiiiiiiiiiirNajaribu kuumba comment za wadau kama mtuhumiwa angekuwa na majina ya kiislam, samahani nimeamua kuchafua hali ya hewa
Hatari mzee! Watu wangeshupuza shingo hadi sio vizuri, kuna yule kenge wa kujiita joz....huyo mama mburura sana, eti 'nikamsamehe sababu mimi ni mtu wa dini!'. mpumbavu kabisa.........sipati picha hili tukio kama lingetokea lindi au mtwara