STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,262
Hataivyo inategemea na bastola yenyewe, pia inategemea imekupiga mahali gani,Jamaa wazo lake ni lizuri ila namna ya kuliwasilisha. Skia ninja.
Mshale ukikupata sehemu mbaya kama tumbo au kifua maumivu yake ni makali saana. Mfano tumbo ukipigwa Mshale hatutaweza kuuchomoa kwa upande ulipotokezea inabidi tuupige utokezee upande wa pili kulingana na nature yake.
Sitaki kuulinganisha na bunduki ila Mshale unamaumivu na kama unasumu hauchukui hata 5min unaenda kwa Israel.
kisha ameeleza kujeruhiwa na sio kufa.
Hapo nnaweza kukubaliana nae kwa asilimia fulani