HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Kama ni hivyo na wewe usingehangaika na hukumu/assumption. Tupo kwenye mjadala, matokeo ya upelelezi baadaye. Labda pia CID`s wanapita hapa kupata clue
Hizo ni possibilities tunazozungumzia. Hitimisho ni baada ya kesi kuanza na kwisha.Kitendo cha wewe kutumia itakuwa, inawezekana, au nk ni kujichosha tu.
Una ushahidi gani kama amehusika?kwani tayari hukumu yake imeshatoka?Sote tunasikitika kwa kifo cha aneth lakini ni mapema mno kumuhukumu mtu kabla hajahukumiwa na mahakama.Roho ambazo hazipaswi kuwepo duniani.Ni kwakua tu hatufahamu maumivu aloyapata ndo mana wengine wanakuja hapa kutetea upumbavu. Kwani alikua mnyama mpaka astahili mateso yale... Huyo mama Simon ndo wa maana sana asiguswe? Eti anasingiziwa? Kwanini yeye na sio wengine? Inaumiza sana jamani na matendo mengine mabaya usikute waliya fanya .....kweli inasikitisha sana.
Ameshahukumiwa na mahakama kwani?Anaenda kunyea debe, huku akiziota Mali za erasto..sipatii picha huyo Magoma alivyokuwa anaweka pozi la kibilionea coming soon..
Kiongozi hakuna kujitoa ufaham kiongozi,labda unisaidie kujua kama hata kesi imeshaanza kusikilizwa.mahakamani?Yaani hawa watetezi wa Ma sai watarukwa na akili, MTU anaona real pic, lakini anajitoa ufahamu?!?!...eti beki 3 kasetiwa khaaa?!?!!
Faza,Kiongozi hakuna kujitoa ufaham kiongozi,labda unisaidie kujua kama hata kesi imeshaanza kusikilizwa.mahakamani?
Vinginevyo tunavyofanya humu ni sawa na kujichukulia sheria mkononi tutamuhukumu vipi mtu ambae hajahukumiwa bado na mahakama?
Itendeeni haki jf kama home of great thinkers!
Roho ya binadamu sijuinilinganishe na nini. Muuaji kma si leo kukamatwa basi kesho atakamatwa!Amefanya jambo lakijinga sana...unaHela halafu unafanya makosa yakibwege namna hiyo..Nway huenda nae zake zilikuwa zimefika...MTU anaejua mambo hayo na Hela anayo yuko tayari kuagiza wazee wakazi popote Duniani wakakufanyia kz yako NO..trace wala nini Eti...unamtumia Back 3 duu
haya binti housegal yuko dar kwa anety,huyu mama saimon yuko arusha alimshauri kivipi ukichukulia huyo housegal aliletwa kuja kufanya kazi kwa anety akitokea kwao anety?,connection ipo kweli kati ya mama saimon na huyu housegal?.
The only way polisi wataprove maneno ya housegal ni kuangali rekodi za simu ya huyo houselgal na mama saimon kama kweli kuna connection.
Simu ya huyo housegal ndo inaweza sana kusaidia kwani kumbukumbu zote za watu aliokuwa akiwasiliana nao zinaweza kutoa jibu
Alikua anaongea na housegirl nini kila cku cmu zaidi ya kumi anampigia.hata cku ya mauaji aliongea nae zaidi ya cmu kadhaa inaonekana nyie hamjui chochote...hata hawara yke magoma yuko ndani
Anethe amelelewa kwao mererani kairo istoshe baba yao yuko vizuri kiuchumi kitambo.story kua kamlea hazipo kwani mtu likizo akija kwako ndio umemleaLabda alipata taarifa Za kutoroka kwa house girl Kama mama mlezi wa anate akaona ampigie kumbembeleza abaki Au kujua alipo watu wana comment hapa kua huyo ndio aliyemlea anathe so kuna possibility anathe alikua anawasiliana nae akipata shida police waende kuomba mawasiliano ya mama Simon Na marehemu kabla ya kufa kwake yalikuaje je walikua wanawasiliana frequently
Watu wanashangaa housegal kuwa naconnection na huyo miriam...simple..house aliwahi kuwa housegal wamama erasto(ma mkwe) kwa miaka mingi....meaning huyo miriam na mumewe walikua wanamjua hougal ht pia kumzoea sababu anaishi kwa mama yao..ht akihama ukaribu hauwez isha...Alikua anaongea na housegirl nini kila cku cmu zaidi ya kumi anampigia.hata cku ya mauaji aliongea nae zaidi ya cmu kadhaa inaonekana nyie hamjui chochote...hata hawara yke magoma yuko ndani
Mkuu huwezi kua na mazoea unampigia cku 10 kwa cku kuliko hata meneja wako wa hotel.au housegirl alikua mshauri wa mariam kibiasharaWatu wanashangaa housegal kuwa naconnection na huyo miriam...simple..house aliwahi kuwa housegal wamama erasto(ma mkwe) kwa miaka mingi....meaning huyo miriam na mumewe walikua wanamjua hougal ht pia kumzoea sababu anaishi kwa mama yao..ht akihama ukaribu hauwez isha...
Mbona ht mm housegal wa mkwe wangu nimemzoea na japo wana ishi mkoani...ili happen tumeenda ukweni housegal mchangamfu tukabond as if tunajuana miaka...so it is possible housegal kutumiwa na bidada
Alikua anamchota akili na infoMkuu huwezi kua na mazoea unampigia cku 10 kwa cku kuliko hata meneja wako wa hotel.au housegirl alikua mshauri wa mariam kibiashara
Hata cku ya mauaji kaongea nae housegirl sana kuna vitu vinambana mariamAlikua anamchota akili na info
Hata cku ya mauaji kaongea nae housegirl sana kuna vitu vinambana mariam
Tunaongea kitu ambacho kipo kma huyu mariam hana hatia mahakama ndio itaamuaMkuu una info sana wewe Ni hakimu Au mpelelezi
Na hawara mtu kakamatwa movie bdo inaendelea.Dada mariam amekutwa anawasiliana na housegirl sana.hata kabla ya anneth kuuawa aliongea na housegirl zaidi ya mara 10.....jiulize tu alikua anaongea nae nini kila cku
Kijana hebu tengua kauli yako... Hata Mungu nae huwa anakosea, ina maana huoni walemavu walivyozagaa mitaani? je walipaswa kuzaliwa vile kwani...!!Police ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaa