HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Ila Jamaa aligegeda Sana Dada zetu...kwenye hotel zake unaweza kuta anao Wa 4 room tofauti na wote anapiga mgegedo kwa siku.
Pesa acha iheshimiwe!
Wauwaji wa erasto wameshakamatwa na kesi yao bado inaendelea ilihairishwa tuSamahani lkn wana jf, hivi mbona nakumbuka kama wauwaji wa Eresto walikamatwa? sasa mbona kuna wachangiaji wengine wanadai wakikamatwa hawa wa Aneth ndio na wa Erasto watapatikana mbona sasa pasua kichwa?
Kuchomoka atachomoka kwa uweza wa mungu maana mungu ndio hakimu kushinda mahakimu wote kwenye hii dunia na anahukumu kwa haki akisema ndio hakuna wa kusema hapanaHili suala lingeishia kwa Erasto isingekuwa shida hivi..
Tatizo ni kwa nini huyu Aneth nae awawe! !???
Huyo mama sijui kama atachomoka hapo.
Umalaya sio wa mwanamke au mwanaume wala hauhusiani na hela hao wenyewe wa mtaani hawana hela lakini wamepanga wanawake kama mabehewa ya treniHiyo sio kazi yako kwasasa. Mwachie yeye na Mungu wake. Angalia maisha yako
Duh, hii mada watu wamefunguka kupita kiasi, hoja ziko nyingi na wengine wanaonekana ni watu wa karibu sana na familia hiyo
Kuunganisha kwangu dot kunanileta hapa
1. Huyo Mke wa Marehemu na huyo Aneth aliyauawa Kigamboni walikuwa mashost, watu wanaoelewana sana na kama inavyosemwa kuwa alilelewa na huyo mke wa Erasto basi walikuwa wanelewana sana
2. Baada ya kifo cha Erasto, ambacho inaonekana kuwa Familia ya Erasto inakijua chanzo chake ambacho si Mke wa erasto, Ugomvi wa mali ulianza
3. Inaonekana Aneth hakuwa upande wa familia yake katika kumnyanganya mali wifi yake, yaani Aneth alikiwa kinyume na Familia yake, so inawezekana alikiwa anatoa siri za Familia yake kwa wifi yake mke wa Erasto
4. Inaonekana kuwa Familia ya Erasto haikupendezwa na ukaribu wa ndugu yao na wifi yake
5. Inaonekana/ au inawezekana kuwa mama Erasto kwa kushirikiana na ndugu zake walimuua Aneth
6. Kwa nini mama mkwe alimzuia Mke wa Erasto kuhudhuria msiba wa Wifi yake, kama aliweza kuhudhuria msiba wa mumewe angeshindwa vipi kuhudhuria msiba wa Wifi yake
7. Huyo house girl alikimbilia wapi baada ya kutoka hapo kwa marehemu?, alikuwa na mawasiliano na nani?
8. .................
Impossible case. ...no way and haiwezekani kwa mama yeyote dunianiDuh, hii mada watu wamefunguka kupita kiasi, hoja ziko nyingi na wengine wanaonekana ni watu wa karibu sana na familia hiyo
Kuunganisha kwangu dot kunanileta hapa
1. Huyo Mke wa Marehemu na huyo Aneth aliyauawa Kigamboni walikuwa mashost, watu wanaoelewana sana na kama inavyosemwa kuwa alilelewa na huyo mke wa Erasto basi walikuwa wanelewana sana
2. Baada ya kifo cha Erasto, ambacho inaonekana kuwa Familia ya Erasto inakijua chanzo chake ambacho si Mke wa erasto, Ugomvi wa mali ulianza
3. Inaonekana Aneth hakuwa upande wa familia yake katika kumnyanganya mali wifi yake, yaani Aneth alikiwa kinyume na Familia yake, so inawezekana alikiwa anatoa siri za Familia yake kwa wifi yake mke wa Erasto
4. Inaonekana kuwa Familia ya Erasto haikupendezwa na ukaribu wa ndugu yao na wifi yake
5. Inaonekana/ au inawezekana kuwa mama Erasto kwa kushirikiana na ndugu zake walimuua Aneth
6. Kwa nini mama mkwe alimzuia Mke wa Erasto kuhudhuria msiba wa Wifi yake, kama aliweza kuhudhuria msiba wa mumewe angeshindwa vipi kuhudhuria msiba wa Wifi yake
7. Huyo house girl alikimbilia wapi baada ya kutoka hapo kwa marehemu?, alikuwa na mawasiliano na nani?
8. .................
Una ushahid aliyeua ni uyo mama?Mim na wew hatujui kitu lakin pia usihukum kwa vitu usivyovijua,anza kufuatilia baadhi ya michango humu,halaf kaa pembeni uangalie movieHili suala lingeishia kwa Erasto isingekuwa shida hivi..
Tatizo ni kwa nini huyu Aneth nae awawe! !???
Huyo mama sijui kama atachomoka hapo.
Pamoja na id yako,lakin kuna kitu umekinote,niseme tu kuwa tunalingana kimtazamo lakin pia tusihukum kwa kusikiaDuh, hii mada watu wamefunguka kupita kiasi, hoja ziko nyingi na wengine wanaonekana ni watu wa karibu sana na familia hiyo
Kuunganisha kwangu dot kunanileta hapa
1. Huyo Mke wa Marehemu na huyo Aneth aliyauawa Kigamboni walikuwa mashost, watu wanaoelewana sana na kama inavyosemwa kuwa alilelewa na huyo mke wa Erasto basi walikuwa wanelewana sana
2. Baada ya kifo cha Erasto, ambacho inaonekana kuwa Familia ya Erasto inakijua chanzo chake ambacho si Mke wa erasto, Ugomvi wa mali ulianza
3. Inaonekana Aneth hakuwa upande wa familia yake katika kumnyanganya mali wifi yake, yaani Aneth alikiwa kinyume na Familia yake, so inawezekana alikiwa anatoa siri za Familia yake kwa wifi yake mke wa Erasto
4. Inaonekana kuwa Familia ya Erasto haikupendezwa na ukaribu wa ndugu yao na wifi yake
5. Inaonekana/ au inawezekana kuwa mama Erasto kwa kushirikiana na ndugu zake walimuua Aneth
6. Kwa nini mama mkwe alimzuia Mke wa Erasto kuhudhuria msiba wa Wifi yake, kama aliweza kuhudhuria msiba wa mumewe angeshindwa vipi kuhudhuria msiba wa Wifi yake
7. Huyo house girl alikimbilia wapi baada ya kutoka hapo kwa marehemu?, alikuwa na mawasiliano na nani?
8. .................
Impossible case. ...no way and haiwezekani kwa mama yeyote duniani
Unbelievable kwa kweliKaka kwenye issue za mali na familia zilizobubikwa na tamaa iliyozidi mipaka nawezekana kabisa, kaka doubt kubwa iko kwa huyo maid wa Aneth, huyo mke wa marehemu hamjui wala hana uhusiano na huyo maid, huyo maid aliletwa na mama wa marehemu na ndio anamjua kwa muda mrefu huyo mama kakaa na maid zaidimya miaka kumi ndio akamleta kwa mwanae WHY?, sasa iweje Mke wa Erasto apange kumuua Aneth na Maid akae kimya while yuko ROYAL na karibu mno na mama wa Aneth, si angesema tu mpango uliopo?
Kwa ilivyokiwa sio raisi kwa maid kuwa timu moja na mke wa marehem, lakini ni rais mno kiwa timu moja na mama Aneth, NI SIMPLE LOGIC TU
Cc: HOPECOMFORT
Na wala hatukutaki,kwanza huna helaWanawake wa Kaskazini ni hatari saana! Mie ni mmeru natambua ndugu zangu walivyo... wachaga ni hatari sana ila wapare ni zaidi ya hatari.
Naapa sitokuja kuowa kaskazini milele.
IKaka kwenye issue za mali na familia zilizobubikwa na tamaa iliyozidi mipaka nawezekana kabisa, kaka doubt kubwa iko kwa huyo maid wa Aneth, huyo mke wa marehemu hamjui wala hana uhusiano na huyo maid, huyo maid aliletwa na mama wa marehemu na ndio anamjua kwa muda mrefu huyo mama kakaa na maid zaidimya miaka kumi ndio akamleta kwa mwanae WHY?, sasa iweje Mke wa Erasto apange kumuua Aneth na Maid akae kimya while yuko ROYAL na karibu mno na mama wa Aneth, si angesema tu mpango uliopo?
Kwa ilivyokiwa sio raisi kwa maid kuwa timu moja na mke wa marehem, lakini ni rais mno kiwa timu moja na mama Aneth, NI SIMPLE LOGIC TU
Cc: HOPECOMFORT
Impossible case. ...no way and haiwezekani kwa mama yeyote duniani
Umesema?!
Kuwezekana inawezekana but not in this case.
Duh! Kazi kweli kweli
Ebu muite mshana jr aje akwambie inavyowezekana
LolNa wala hatukutaki,kwanza huna hela
Anajidai haoi kaskaz,nani alimwambia tunataka wanaume wasiyo na hela,kwanza ukimuua mtu km huyo unapata dhambi bure.ende kule
Police huwa hawakurupuki kwenye swala zito kma hili....kuna shida tena kubwa tu kwa mariamKaka kwenye issue za mali na familia zilizobubikwa na tamaa iliyozidi mipaka nawezekana kabisa, kaka doubt kubwa iko kwa huyo maid wa Aneth, huyo mke wa marehemu hamjui wala hana uhusiano na huyo maid, huyo maid aliletwa na mama wa marehemu na ndio anamjua kwa muda mrefu huyo mama kakaa na maid zaidimya miaka kumi ndio akamleta kwa mwanae WHY?, sasa iweje Mke wa Erasto apange kumuua Aneth na Maid akae kimya while yuko ROYAL na karibu mno na mama wa Aneth, si angesema tu mpango uliopo?