Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Hii ni "OPEN" letter kwa kila mtu? Mbona imekaa kama ilikusudiwa kwenda kwa wanafamilia?
 
Mwili unanisisimka!!!🙁
 
Jitahidi kujieleza vizuri. Mbona hata sentensi zako hazieleweki Ndugu yangu?.
 

Istoshe alishaenda kutangaza ndoa nyingine pindi tu mumewe alivyo fariki akili hana kaishia std 7 Mpare mpuuzi
 

Huu ni uropokaji na lazima tujirekebisha, kutokuja msibani tayari umeshabwabwaja hivi?
 
Hahaha mlikuwa mnagombea nini?
 
Mkuu vipi umejitwika Safari ngapi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…